Nape live on Star tv: Anazungumzia uchaguzi wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape live on Star tv: Anazungumzia uchaguzi wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chigwiyemisi, Aug 26, 2012.

 1. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye yuko live Star tv anadadavua kwa makini taratibu za uchaguzi ndani ya CCM.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nape Janga la Taifa.
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Uchaguzi huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  watu mna moyo yaani unapoteza muda wako kumsikiliza nape..angalia asianze kuporomosha matusi maana hawachelewi.
   
 5. Informer

  Informer JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2006
  Messages: 1,224
  Likes Received: 2,438
  Trophy Points: 280
  Hivi sauti ya Nape huwa haiwezi kupungua kwa namna yoyote ile? Jamaa anaongea kama yupo kwenye jukwaa la propaganda
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nape kuna tetesi zinasema mwenyekiti wa uvccm lazima atoke zanzibar je kanuni za uchaguzi sinasemaje?
   
 7. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  anadhani kwa kupayuka ndo atajulikana kuwa Mzalendo!!!
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu unataka magamba wafe mara ngapi? Mbona tayari wanaendelea kuzikwa na M4C.
   
 9. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa mtindo huu wa uchaguzi wa ccm CHADEMA ikulu hiyooo!
   
 10. J

  JAPHETtumpa Senior Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  shida ya chama cha mapinduzi ni kujifanya hawaoni na wanadhani wakifanya hivyo basi wanaweza kufanya watu wengine wasione. shida inakuwa kubwa kama hata wanapokuwa na vikao wanashindwa kujadili misingi ya matatizo ya chama kwa sababu tayari wamejifanya hawaoni.

  Chama kimekosa uwezo kwa sababu ya hofu ya mijidala. wanachama waliojaribu kuona matatizo ya chama walitishwa na wenye madaraa ndani ya chama, kwa sababu mara nyingi wenye madaraka wamekuwa ndiyo chanzo cha matatizo ya chama ama kwa kutenda ndivyo sivyo au kwa kutokutenda yaliopaswa kutendwa, unapojadili matatizo ya CHAMA NI SAWA NA KUJADILI UDHAIFU WAO.

  HAYA YOOTE NI KWA SABABU YA NGUVU YA FEDHA YA WALIOFANIKIWA KUKITEKA CHAMA. UKIJUA HIVYO UTAFAHAHAMU KUWA UCHAGUZI WA CCM NI NAFASI YA WALIO NA FEDHA KUJIPANGA KIMKAKATI KUELEKEA KWENYE MALENGO WALIOJIWEKEA. HAKUNA WAKUZUIA NDANI NA NJE YA CHAMA, SABABU ZIPO WAZI CHAMA KIMETEKWA NA NGUVU YA FEDHA BADALA YA NGUVU YA UMMA
  SIDHANI KAMA KUNA MTU ANAWEZAKUOMBA USHAHIDI WA HAYA ISIPOKUWA VIPOFU NA VIZIWI WAKUJITAKIA WA HALI HALISI
   
 11. H

  Hiraay Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amesema wanajipanga kwa umakini wasije kuanguka 2014 & 2015 halafu wawe wapiga kelele!!!

  Kuna mchangiaji mmoja (Ruhuza) kamtahadharisha wajitahidi kurudisha vijana chamani maana kiuhalisia asilimia kubwa sana wamekimbilia CDM.....jambo ambalo mwenzake (katibu wa ccm Kinondoni) kalipinga kwa nguvu akidai yeye anafahamu hali halisi mitaani kwamba vijana karibu wote bado ni ccm!!! Maajabu ccm hayaishi
   
 12. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Bado itakula 2!
   
 13. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sikio la kufa halisikii dawa!
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ccm ni chama kizuri na sera zake ni nzuri tatizo ni baadhi ya watu wake
   
 15. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  CCM ina "wenyewe" na hao "wenyewe" hawajuani "wenyewe" kwa "wenyewe"...!!
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nape anaelezea kwa mapana sana mafanikio ya uchaguzi ndani ya chama
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  jipe moyo.chadema itaongeza wabunge lakini sio ikulu
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwanini mkuu.
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  sahau kabisa hiyo kitu
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa sababu ni kiboko ya wapinzani
   
Loading...