Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi and Soon to Defect to .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi and Soon to Defect to ....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Aug 24, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,233
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Hii nimeipata ikiwa bado ya moto, na mimi nimeileta hivyo hivyo ikiwa bado inachemka, ili JF iwe the first to break this news!.

  Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, ameachia ngazi!.

  Katibu huyo, (jina litafuatia), ameachia ngazi rasmi kwa kuitisha press conference iliyomalizika soon mjini Morogoro!.

  Katibu huyo ametoa sababu kuu za kuachia ngazi, ni sintofahamu kati yake na Mwenyekiti wake, Mhe. Susan Kiwanga kuhusiana na lengo la M4C!.

  Kwa mujibu wa mtoa habari wangu, Katibu huyo ameanza rasmi ubomoaji wa Chadema kwa aliyoyazungumza
  na nimeona sii bora kusema alichosema, bali nitawawekea hapa soon!.

  MY Take.
  Huyu jamaa anaweza kuwa anatumiwa, na naombeni mvute kidogo tuu subira, very soon ata defect kuelekea rasmi kule kwa walio mtuma!.

  Note: Ilianza hapa JF kama tetesi -> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/312620-katibu-wa-mkoa-wa-morogoro-chadema-kujiuzulu.html

  Pasco.

  Background.
   
 2. m

  malaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hao ndio waadharika wa M4C. Bora kajitambua mapema na hii ni kwa sababu ameona moto wa M4C.
   
 3. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Alikuwa anajulikana na nani huyo?
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huo mtikisiko wa maji ndani ya kikombe cha CHADEMA huko Morogoro hivi kitakua kimewagharimu wanaMabwePande kiasi gani cha fedha kulitekeleza kabla hatujachukua uamuzi wa kuwahamisha kabisa vijiji vyote vya Morogoro?????
   
 5. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Huyo kachelewa kuachia ngazi. Dr. Slaa hawacheleweshi hawa. Nyamagana wametimuliwa juzi kati. Ukombozi unahitaji watu imara na sio vigeugeu. Mwambie awahi kurudi CCM akamsalimie Lamwai na Tambwe Hiza
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,162
  Likes Received: 12,871
  Trophy Points: 280
  hii ni dunia na maajabu hutokea duniani pekee so hili si jipya kwani hukumbuki baada ya uchaguzi wa viti maalum kuna mmoja alienda ccm napo kapigwa kapuni?
  Naakaya nae alijitoa yu wapi sasa?
  Mleta habari tueleze sababu kuu za yeye kujitoa
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Gamba hilo limeoona moto mkali bora nimejing'oa lenyewe
   
 8. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyo kanunulia na magamba aka mabwepande. Katika safari ya ukombozi hatuhitaji watu vigeugeu kama hao. Aende zake na njaa yake.
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hiyo ni ingia towa,kwa hiyo haina shida
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Cdm hakuna posho za makuwadi, aende tu, moto uliopo ni mkali mno!
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Takataka hilo na tapeli.Majizi yote hayatakiwi CDM.Majizi na mafisadi yataondoka yenyewe kurudi yalikotoka.Thanks for info Pasco.
   
 12. n

  nderima Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daaa jamanii hiyo nnn kinatoke kwa cdm tena au ndio nape na mwigulu wamefanikiwa lengo lao la kubomoa ngome ya chadema
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,741
  Trophy Points: 280
  Hizi ndizo zile design ambazo ni too dull hata kujua upepo unaelekea wapi. Too dull hata hafikirii familia yake baada ya maisha yake hapa duniani???

  Binafsi huwa sijui tatizo letu Watanzania ni nini?? Ila nafikiri tatizo ni elimu duni tuliyopewa na CCM!!
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Ukombozi si lele mama arudi akajipange upya, kwa kidhungu: Who is it?
   
 15. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu hana efect maana alikuwa anakidhoofisha chama, Hkuwza hata kufungua tawi moja laCDM Moro. Tunamtakia safari njema. Atupishe tupite.
   
 16. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kazi mliyonituma nimeimaliza
   
 17. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Very good aende tu, ukombozi sio rahisi, wasaliti hawakosekani. Bora mapema aende zake.
   
 18. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nipo morogoro hoja yake kubwa anasema amejiona anatumikia chama ambacho kinaendeshwa kikabila zaidi,pia wale ambao wa kabila hilo na waliopo na kabila hilo wanasikilizwa zaidi,amebanwa na mwandishi ataje hilo kabila amesema wandishi wajue tu chadema ipo kikabila zaidi na amewalaumu wandishi wa habari kufumbia macho ukabila wa chadema,anaonekana ana wasi wasi sana!
   
 19. A

  Awo JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hivi Shitambala yuko wapi siku hizi?
   
 20. M

  Magesi JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  2pe na sababu zake za kuachia ngaz
   
Loading...