Mjumbe wa NEC kuvua gamba mkutano wa CHADEMA READING, Kamati kuu ya CCM yakuna kumjadili ...picha

Status
Not open for further replies.
Kukutana ni kawaida yao, tatizo ni kwamba vikao vyao havileti tija kwa ccm yenyewe ama nchi kwa ujumla.
Na wengi wataendelea kuvua magamba, wajiandae kukaa sana kuwajadili.
 
Atakuwa Kingunge huyo anayetaka kuhamia chadema
............exactly kama ulivyosema...........!
 
Hii picha ni ya leo au mwaka jana? Hebu wenye details watupe.
8D6U6455.jpg

MKUU UNAIFANANISHA NA HII YA MAY 2012, ILE NI YA LEO, NDIO STYLE YAO KIKAO CHA MAJINI
 
Aiseee baba yangu wanamjadili nani mkuu embu 2elewesheni vizuri wakuu

napata mbege huku nikisubiri
 
Sure Mkuu niliifananisha na hii moja kwa moja. Kuna mdau ameniagizia kuwa imetumbukizwa kwa mjengwa blog na kitu cha moto cha leo leo. Hali tete!! Ila sasa sijajua jina la huyoo kada wa majuu aliyevua gamba!! Wenye details tupeni. Bado wengi na huko Arusha kile kikundi chao cha serengeti kimehamia CDM chote, wakubwa kwa wadogo!!
 
Aiseee baba yangu wanamjadili nani mkuu embu 2elewesheni vizuri wakuu

napata mbege huku nikisubiri
Wanaemjadili hatuwezi kumtaja kwa sasa ila nadhani watafanya press conference baada ya kikao hivyo watamuanika rasmi, nasikia wameamua kumuita oili chafu eti hawamtaki tena lakini najua taifa zima litatikisika sababu huyu ni mtu mkubwa sana anahamia Chadema. na magamba wanamuogopa sana
 
Sitaki uniambie kwamba ni Lowasa.
 
Wanaemjadili hatuwezi kumtaja kwa sasa ila nadhani watafanya press conference baada ya kikao hivyo watamuanika rasmi, nasikia wameamua kumuita oili chafu eti hawamtaki tena lakini najua taifa zima litatikisika sababu huyu ni mtu mkubwa sana anahamia Chadema. na magamba wanamuogopa sana

aiseee baba yangu chilisosi nashukuru kwa kunihabarisha,,,kesho kapokee kidumu cha lita 5 cha mbege ubungu nitakituma na dar express yakwanza kutoka rombo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom