uongo wa serikari ya CCM ni huu hapa tuiondoe kabisa 2015

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
Makorongo+Sekenke.JPG

Kutokana na kilichoelezwa kuwekwa kwa lami chini yakiwango katika mlima Sekenke mkoani Singida, imeharibika vibaya kama inavyoonyesha pichani magari yakipita kwa shida baada ya lami hiyo kubomoka kwa kipindi kifupi tangu iwekwe, kama ilivyokutwa jana.Picha na Joseph Senga
 
Watakusikiliza iwapo hilo lori la Rizione/Ridhione. Vinginevyo unapiga kelele tu.
 
Makorongo+Sekenke.JPG

Kutokana na kilichoelezwa kuwekwa kwa lami chini yakiwango katika mlima Sekenke mkoani Singida, imeharibika vibaya kama inavyoonyesha pichani magari yakipita kwa shida baada ya lami hiyo kubomoka kwa kipindi kifupi tangu iwekwe, kama ilivyokutwa jana.Picha na Joseph Senga

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebookuo

hawa watu kwa sababu ccm na ye mwenyewe wamekuwa wakiwatumia waislamu kwa manufaa ya ccm sasa anogopa siri kuwekwa hadharani tumeone waislamu wengi viongozi mzee mwinyi aliwadhibiti akina ponda mzee makamba aliwadhibiti pale magomeni sasa kikwete kwa nini tusikuone wewe ni swahiba na unawafurahia kwa sababu wanafanya kazi abayo ndani ya moyo wako unachekelea lakini kumnuka vita ya kidini haitamuacha salma ridhiwani wala ndugu yako yeyote acha udini ongoza nchi nyerere aliyuonya watanzania kukuchagua sasa tunaona faida zake
 
Sekenke ni aibu kubwa. TANROADS hawaoni wakarekebosha kuokoa aibu kwa serikali ya ccm?
 
NCHI hii bwana! kila kitu ni kuchakachua.lini tutazionea huruma fedha zetu? nani alipewa jukumu la kusimamia ujenzi wa barabara hii? ANGEKUWA GHANA ENZI ZA RAWLINGS ANGEKUWA KASHAPIGWA SHABA.
 
ni aibu sidhani hata miaka 5 imefika tangu pajegwe maana nilipita 2009 ndio walikuwa wamemaliza muda mfupi leo hii iko hivi ni aibu kwa ccm na TANROADS
 
hawa watu kwa sababu ccm na ye mwenyewe wamekuwa wakiwatumia waislamu kwa manufaa ya ccm sasa anogopa siri kuwekwa hadharani tumeone waislamu wengi viongozi mzee mwinyi aliwadhibiti akina ponda mzee makamba aliwadhibiti pale magomeni sasa kikwete kwa nini tusikuone wewe ni swahiba na unawafurahia kwa sababu wanafanya kazi abayo ndani ya moyo wako unachekelea lakini kumnuka vita ya kidini haitamuacha salma ridhiwani wala ndugu yako yeyote acha udini ongoza nchi nyerere aliyuonya watanzania kukuchagua sasa tunaona faida zake

Hii inahusianaje na ubovu wa barabara katika mlima Sekenke Singida mkuu? Nieleweshe kidogo!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom