Tatizo la kwanza la serikali ya CCM ni rushwa na sheria za nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kwanza la serikali ya CCM ni rushwa na sheria za nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Aug 27, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tatizo kubwa la kwanza la serikali ya Tanzania ya CCM ni (1) Sheria hazifuatwi kwa watu wenye uwezo na mafisadi (2) Rushwa iko wazi na hakuna linalofanyika. Bila kutatua haya matatizo wananchi wataendelea tu polepole kuhamia vyama vingine. Kama kweli wakishidwa kukabiliana na haya basi kama Mtanzania unaependa nchi yako kwa mayo wote huwezi kuendelea kushabikia CCM.
   
Loading...