Viongozi wa CCM na CUF wajiunga na CHADEMA Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CCM na CUF wajiunga na CHADEMA Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by johnn, Aug 27, 2012.

 1. j

  johnn Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya viongozi wa CCM na CUF wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na CHADEMA kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu.
  Source: ITV
  ​
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wamechagua tawi lililojema.
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wamechangua fungu lililo bora. Karibu katika ukombozi. I wish Uchaguzi ungekuwa mwaka kesho.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Karibuni tupige mzigo wa kuiokoa Tanganyika! good choice for the good people!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Karibuni ila huku hatutoi pilau na kande.
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Njooni na kama mmetumwa na NAPE,MTATIRO tutajua tu.
   
 7. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  majina yao na nyazifa zao tafadhali
   
 8. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamechagua Mahali Pema....
   
 9. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kwa chama sahihi.keep itup
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  taarifa ya lini hii?
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wako wengi tu wameshachoshwa na hicho chama cha kizamani ila muda ukifika tutawapokea wengi tu since ni watanganyika wenzetu. Wako wengine walioko serikalini ila wanalinda mshahara tu. All in all time will tell.
   
 12. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Upepo unazidi kuwa mzur............
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  haya shime vidume. tangulieni nami nipo njiani kuja hapo Magu kuongeza nguvu. huyu mabina, limbu na kamani hapo Busega lazima wajiharishie. huuu moto wa mabadiliko hawana uwezo hata wa kuusogelea. NALIZAKO BHANAMHALA.
   
 14. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Ni maamuzi sahihi waliyoyafanya nawapa Big up.
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  utamwacha CCM na CUF na kujiunga na CDM! Japo lilojema hilo.
   
 16. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CHADEMA....Basi kubwa..wewe na jamaa zako wote. Amia CHADEMA.
   
 17. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuwa muumini wa ccm kunakutaka uwe na roho ngumu zaidi ya jiwe
   
 18. z

  zulu12 Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliojiunga na cdm ni viongozi wa ngazi gani na majina yao yapi?
   
 19. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wengi2 wamejivua gamba kwani hata huku Jimbo la Mlalo tawi nzima la CUF Kata ya Kwemshasha walihamia CDM wakati wa ufunguzi wa tawi la CDM KATA YA KWEMSHASHA iliyoongozwa na kamanda KEVIN SHEMBOKO.Miongoni mwao ni aliyekuwa mgombea udiwani 2010 kupitia CUF.NI VIGUMU KUJUA KWA NINI CHADEMA INAPENDWA,LAKINI UKIWASOMA SOCRATES,PLATO,IBN LAKUN,CONTE,KARL MAX,NKRUMA,JK,ORNSTEN,LENIN,HEGEL NA WANAFALSAFA WENGINE UTAGUNDUA CHADEMA NI PARTICIPAORY PARTY.
   
 20. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  NZUGWi pye abose chadema,i ccm chama ya mala ngh'wi ya shija makala gike.'CDM NGUZU YA BANHU'- ppz powa!
   
Loading...