Makala kwani pikipiki unazogawa leo ili mshinde udiwani??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala kwani pikipiki unazogawa leo ili mshinde udiwani???????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Man 4 M4C, Aug 27, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mh naibu waziri naona umeamua kugawa jepikipiki kwa vijana wako ili mshinde udiwani kata ya Mtibwa,sisi tunahoji uhalali wa kutoa zawadi hizo wakati huu wakati uchaguzi wa diwani umetimia. kumbuka Igunga kilichotokea na wewe unarudia hicho hicho.

  Pia kumbuka kuwa wananchi wa Mvomero hawakukuchagua kuwapa pikipiki watu 4 tena ndugu zako,wanataka uwanja wao wa mpira wa hembeti ambao umekuwa mashine ya kusaga alizeti,wanataka shamba lao la mkindo analolima mkapa,wanataka haki zao kiwandani,wanataka viongozi wao wa kuchaguliwa kila kijiji sio wa kukaimishwa,wanataka kujua nani anavuna mitiki yao,wanataka kujua hatima ya wastaafu na sio jezi na mipira tena inayopasuka pasuka mwezi mmoja.

  Pia wanataka kujua pesa zao za mfuko wa jimbo zipo wapi?
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kama watu wenyewe ndugu zake tatizo liko wapi? Tangu lini kumpa ndugu yako zawadi ikawa rushwa?
   
 4. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata Mimi niliposoma hapa kwenye ndugu kupewa nimeshapoteza point Ngoja nichangie sehemu nyingine. By Man 4 M4C Mh naibu waziri naona umeamua kugawa jepikipiki kwa vijana wako ili mshinde udiwani kata ya Mtibwa,sisi tunahoji uhalali wa kutoa zawadi hizo wakati huu wakati uchaguzi wa diwani umetimia. kumbuka Igunga kilichotokea na wewe unarudia hicho hicho.Pia kumbuka kuwa wananchi wa Mvomero hawakukuchagua kuwapa pikipiki watu 4 tena ndugu zako,wanataka uwanja wao wa mpira wa hembeti ambao umekuwa mashine ya kusaga alizeti,wanataka shamba lao la mkindo analolima mkapa,wanataka haki zao kiwandani,wanataka viongozi wao wa kuchaguliwa kila kijiji sio wa kukaimishwa,wanataka kujua nani anavuna mitiki yao,wanataka kujua hatima ya wastaafu na sio jezi na mipira tena inayopasuka pasuka mwezi mmoja.Pia wanataka kujua pesa zao za mfuko wa jimbo zipo wapi?
   
 5. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hata Mimi APo kwenye undugu tena nshapoteza point Ngoja nikachangie kungineko

  By Man 4 M4C

Loading...