Hii imekaaje?- Daraja la Mbutu/Igunga lisijengwe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje?- Daraja la Mbutu/Igunga lisijengwe!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masopakyindi, Aug 26, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Haya wanasheria wa vijiweni na mashabiki wa kisiasa naomba maoni yenu.

  Kutokana na ukweli kuwa katika kesi ya ubunge Igunga , Mbunge wake Dr Kafumu ameangushwa kutokana na sababu nyingi.
  Lakini sababu moja kubwa ilikuwa ahadi ya daraja la Mbutu, ahadi iliyotolewa na Waziri wa Miundombinu Dr Magufuli wakati wa kampeni.
  Jaji aliyetoa hukumu hakugusia ujenzi wa daraja hilo ambalo sasa inaonekana dhahiri watu wa Igunga hawakustahili kujengewa.

  Viongozi wa upinzani hasa Dr Slaa alikuwa Igunga jana, lakini yuko kimya juu ya hili.
  Sasa nauliza ujenzi huu ukome kwa vile ulikuwa rushwa?

  Wasalaam
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mradi Dr Slaa hajaongea lolote juu ya hili wana CDM hawawezi au hawaruhusiwi kufikiri juu ya suala hili.

  Lakini hiyo sasa ni rushwa?
   
 3. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60


  kesi iyotoa hukumu ilikuwa ya kubatilisha uchaguzi igunga , kwa tuhuma za rushwa za kisiasa, kama ahadi za magufuli.lakini serikali hata bila kutoa ahadi za rushwa ya kisiasa, inatakiwa kuwatumikia wananchi wake na kuwaletea maendeleo.daraja ni mojawapo ya mikakati ilikuwa imepangwa hata kabla ya kampeni za kisiasa.Hivyo mahakama kwenye kesi iliyomwangusha kafumu, haiwezi kutoa zuio la utekelezwaji wake kosa lilikuwa kutolewa wakati wa kampeni.Ikumbukwe tayari serikali imetoa fedha na kuingia mikataba na wakandarasi wa ndani kujenga daraja hilo, na mikataba hiyo ni halali, hivyo mahakama haiwezi kuingilia mikataba halali iliyoingiwa.hivyo litandelea kujengwa bila tatizo.
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  hapa ndo tunapata undumila kuwili kwa \cdm.
  Hapa sipati msimao wala falsafa ya wanachama wa CDM , wanataka kutumikiwa tu!
  Kama wana nchi wa Igunga wanaona wameonewa katika kukubambikiwa mbunge basi wasiwe wanafiki, kwa kupitia chama chao wakane huu mradi ili waondokane na athari za rushwa.

  Wana CDM JF najua hawachangii hapa maana wanajua wanasutwa na unafiki wao wenyewe pamoja na kushangilia maamuzi ya mahakama.
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ujenzi wa mradi huo unatokana na kodi ya watanzania wote wakiwemo wewe na wananchi wa igunga! Kama ni suala la rushwa, mbona tanzania tuna miradi mingi ya rushwa tunayoitumia ikiwemo rada?
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Kuna mdau aliweka picha enelo hilo pamewekwa mawe kama ma lorry matatu tu... na hakuna kinachoendelea
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Acha uongo!!
  Unachofanya ndicho kinaitwa rumour mongering.
  Nakuwekea picha iliyochukuliwa mnamo mwezi July 2012 juu ya maendeleo ya hapo kwenye mradi.
  View attachment 62919
  Katika background waweza kuona vifaa vya ujenzi kazini.
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  KULA kwa CCM, KURA kwa CHADEMA. Pesa inayojenga daraja sio ya CCM, hivyo ilikuwa ni makosa kwa Magufuli kutoa ahadi kwa wapiga kura kuwa atajenga daraja kana kwamba pesa ni yake binafsi.
   
 9. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  duuh?mkuu unanikumbusha mbali nimezaliwa sehemu moja inaitwa Mwanzugi sio mbali sana na igunga.
   
 10. U

  Udaa JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa thithiem wana laana ya wtz,hawawezi kujitapa hadharani watajenga nn sijui ihali wanajua fedha ni kodi yetu.
   
 11. U

  Udaa JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watajicheki,nape punguza kulialia.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ebwana vipi tena ubongo umeuwekea parandesi?
   
 13. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  tafadhali kuwa mwelewa huu ulikuwa ni mradi wa serikali kwa wanachi wake. magufuli alichokosea ni kusema msipokichagua CCM daraja hilo halitajengwa ikiwa inamaana pesa hizo zingehamishiwa sehemu nyingine kama si kwao Chato Kwa hiyo wanachi wa Igunga wa na haki kabisa na daraja hili na kama limesitishwa wanahaki kuhoji hiyo pesa iko wapi?
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu maana mtaji wa kushinda pale ilikuwa hilo daraja ,sasa akili inapata mchecheto kupigwa bao, ndio maana nasema imekaaje?
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Naelewa sana mkuu ndiyo maana nauliza hili limekaaje?
  Jaji tayari kasema daraja hilo ni tunda la rushwa sasa tunda mwalipenda lakini hiyo rushwa je?

  Jaji alikuwa mwoga kwa kutotoa maamuzi ya kusitisha ujenzi huo.
  Nashangaa hata mlalamikaji mkuu wa CDM , DR Slaa hakufika site wala kusema lolote juu ya hili!
  Huu ni unafiki.
   
 16. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Soma vizuri nilichoandika kuna Mdau aliweka Picha eneo hilo Sasa uongo wangu ni kuhusu hiyo Picha? Wacha niitafute niiweke
   
 17. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha!

  Umekamatika mkuu, lete picha ya kusafisha uongo wako.
  Lakinibado hujajibu swali langu.
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  cdm walipinga kitendo cha rushwa na si kudai hiyo rushwa.What if hiyo rushwa ilikuwa mapenzi ingedaiwa?By the way kuitoa ni kujenga uadui na raia tena, na daraja ni mradi wa manufaa.Yaani ni kama mtoto haramu vile huwa hauwawi na haitii furaha kuwazuia kuja kuwa superstar.
   
 19. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  masopakyindi mgumu wa kuelewa...hilo daraja hata angechanguliwa mgombea ya cdm lingejengwa tayari lilikwa kwenye budget....usifikiri hivi vitu wana plan jion vinafnyika asubuhi....hakukua na haja kwa waziri kurubuni watu...haihijai degree ya sheria kupambanua hapa
   
Loading...