Watu hawa wanastahili adhabu gani?

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
Hivi huyu aliekuwa mtendaji mkuu wa TANESCO (Mhando) na wenzake wanastahili adhabu gani kwa kutengeneza mgao wa maksudi hadi yafuatayo yakawaathiri ambao kimsingi wanaishi maisha ya chini kama wanyama:

1. WaTZ kuingia gharama ya kununua Generata za emergence,

2.Viwanda kushindwa kufanya uzalishaji kwa kukosa umeme na bidhaa kupanda mara dufu

3. Ajira za watu kupotea baada ya viwanda kushindwa kufanya kazi,

4. Gharama za umeme kupanda kwa sababu ya mafuta ya kifisadi,

5. Kununua nguzo 1 ya umeme kwa zaidi ya Milioni 1,

6. Wanafunzi kushindwa kujisomea kwa sababu ya ukosefu wa umeme, nk

KWA UFISADI HUU ULIOTENDEKA, MWENYEZI MUNGU TUNAOMBA MSAADA WAKO
 
ukifuatilia mlolongo wake humkosi JK

Na hapo ndo ishu inapoishia kuwa blocked. bussiness as usual, kwisha habari yake. mafisadi bhana, dawa ni kubadili serikali.

tunaendeleeni kuwaamsha wananchi, waamke waachane na hili li-serikali la MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
 
hao wle na alipewa maelekezo na kuyatekeleza cha msingi tuwaombe watuambie nani na nani walihusika ila hapa Manywe na jk lazima wanahusika au walituma mamluki kuziwasha hizi remote zilizokuwa zinaiharibu TANESCO ILA HAWA NAO LAZIMA TUTAWANYONGA MDA SIO MREFU TUKIBADILISHA MAGAMBA TUTAANZA KUTEKELEZA SHERIA YA KUNYONGA
 
Back
Top Bottom