Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 24, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Kwamba Al Shaabab wamekuwa wakipata mamilioni ya dola kutokana na shughuli za uharamia huko Somalia. Lakini dalili zote zinaonesha kuwa fedha hizo huhamishwa na kuingizwa katika mifumo ambayo itazisafisha fedha hizo na kuzifanya halali. Hii ni pamoja na kununua viwanja na nyumba maeneo mbalimbali ya Nairobi na hata inadokezwa kuwa sehemu fulani za Tanzania.. Je, tunajua nini kuhusu kuingia kwa sympathizers wa Al Shaabab nchini?

  Ni kweli kuwa ujenzi wa eneo moja huko maeneo ya Bahari Beach nje ya jiji la Dar yumkini unahusiana na masuala haya ya Al-Shaabab?
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,084
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  mbona ni vitu rahisi tu si kwa kupitia viongozi wetu ambao hutumia central banks zetu kama flushing points! wewe unafikiria ni rahisi kuweka bank hata lets say US$ 1 mio. kama huna biashara za maana na hata kama unazo watu kama wakina Bakhresa wanajulikana monthly revenue zao yaani hawawezi kuingiza say 10 mio. mwezi huu halafu unaofuata waingize US$ 15 mio. yaani lazma wataulizwa zilizozidi zimetokea wapi! Kwa hiyo jamaa wa BOT au CBK hutumika kuziingiza katika mzunguko! na kuzisafirisha abroad kwenye tight control ni vigumu haswa baada ya Terrorism Act kupitishwa
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huku hatuweki hela bank na ni rahisi kuweka hizo hela kwenye bag na kuzitumia kununua manyumba, wiwanja, magari etc. usioni 10M ukadhani haziishi... zinaisha tu.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Maana Kenya intelligence circles zinadokeza kuwa kumekuwa na watu wakinunua majumba kwa cash katika maeneo mbalimbali ya Nairobi..
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yes MMM, the guys just invest on real estate and wananunua most of things cash and they have strong circles na wamepenya hadi kwenye kiini cha salama yetu!!
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  redgulatory authorities zetu haziko tight, nafikiri kwa sasa land registry na bank kuu inabidi wawe wanawasiliana kabla ya kuhalalisha mauzo au manununuzi ya majengo, ndio maana yula mfadhili wa yanga anaweza kuwekeza anavyopennda sababu hii, hata viongozi wetu wenye kujenga au kununua majengo/hoteli nk mfumo ndio huo huo wa mapungufu ya taasisi zetu
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Another CIA agent in JF doing his job during crisis.
   
 8. papason

  papason JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Nyepesi nyepesi zinadokeza kuwa wengi wa wale wasomali wanaouza used computer pale mitaa ya kariakoo ni members wa Al Shaabab wanaojaribu ku expand network ya Al Shaabab hapa Tanzania na tayari wameisha anza kumiliki mahekalu na ma estate ndani ya Tz, tena nyingi ya hizo used laptops & PC ni zile zilizo ibiwa uarabuni na kenya zikiwa zimechakachuliwa tena wengi wao hawawezi hata kuongea kiswahili ( according to bwana mdogo wangu anaewafanyia kazi za ku repair na kuzichakachua) sijui intelijensia authorities zetu kazi yake ni nini? ( ! zaidi ya kuwasaidia wamagamba kuiba kura tuu) wakati nchi tayari imeisha anza kuingiliwa, sitaki kuamini kuwa hawa jamaa wanatuzidi ujanja
   
 9. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mawazo ya kijinga tu na kichoyo na kutumwa kusema jambo usilolijua undani wake.
  Kwa maelezo yako ni pesa gani hazifanyi hizo kazi ulizoziorodhesha.
  Halafu unatilia shaka kazi za vyombo vya usalama. Ikiwa ni hivyo hiyo kazi tukupe wewe utuoneshe ushahidi wa kuhamishwa hizo fedha za utekaji meli.Usipoweza wewe ni mtu hataari na mbaya kuliko hata hao Alshabaab.Huna maana kabisa katika jamii ya watu wastaarabu.Ukiwa na nia mbaya naomba Mungu akudhibiti mapema kabla hujaleta balaa katika jamii.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  kumbe ami ni msomali
   
 11. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  another movie after libya's episode. Tz intelligence officers wake up.....
   
 12. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kusikia eti Alshabaab wamekodiwa na mafisadi kuuwa wapambanaji wa ufisadi Tz!, kama ni kweli basi kuna uhusiano wa karibu kati ya mafisadi na alshabaab. TZ ukiongelea ufisadi basi lazima utasema kuhusu mapacha watatu, BoT, CRDB, Vodacom etc basi wanaweza kuwa wanahusika katika kusafisha hizo fedha hata bila wao kujua kwa undani. Pili sijafahamu yale mabilioni aliyokamatwa nayo mwanasheria kule arusha yameishia wapi kwana yalihusishwa na mitandao ya maovu kama hiyo
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,084
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Hebu jaribu tuone hata huyo utakayemlipa kununua nyumba bila ya documentation atakuwa chizi lets say unanua nyumba ya US$ 1 mio., obvious itakuwa ya kampuni na niambie makampuni gani yanauza nyumba ya thamani hiyo kwa fedha za mkononi? Hata mtu binafsi atatumia wanasheria na benki! Kwa hiyo si rahisi uwe na US$ ukakaa nazo nyumbani kama wewe si mtu wa large scale business! Lazma utapata shida na utadakwa tu!
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  H

  ili nimewahi kulisikia lakini sijalipa umuhimu mkubwa kihivyo..laweza kuwa na ukweli kulisikia tena..
   
 15. k

  kibali JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona eee
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu swali kubwa ni kwamba hawa jamaa wanalipwa hayo mamilioni ya kuachilia mateka wao wanazitumia hizo fedha wapi? kwa uhakika sidhani kama itakuwa Ethiopia...
   
 17. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Silaha wananunulia na nini? Mishahara au posho za wapiganaji, magari, chakula, n.k?
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  kwanini isiwe Ethiopia?. Inavyoonyesha unauliza kitu unachokijua.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Maswali mazuri kabisa, unafikiri yawezekana wanatumia fedha zote hizo bila kuwa na faida maana itakuwa ni biashara uchwara hii. Baada ya gharama zote hizo za msingi (kwa maoni yao) kinachobakia wanafanya nacho nini na hata kama ni chakula wananunua wapi, magari yanaingiaje. Hapa kwa kweli unaingiza elements muhimu sana. Thanks
   
 20. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,143
  Likes Received: 1,711
  Trophy Points: 280
  Vipi , Umeguswa ?
   
Loading...