Chadema zungumzeni vizuri na vyombo vya dola, ni walinzi wenu wa baadae! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema zungumzeni vizuri na vyombo vya dola, ni walinzi wenu wa baadae!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKALIMOTTO, Aug 27, 2012.

 1. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi, si jambo geni kuwa chadema haiko katika good term na vyombo vya dola. Ni kutokana na madai kuwa dola inakihujumu chama hicho katika harakati zake za kuongoza nchi. Mimi sina uhakika na tuhuma hizo. Kama ni kweli ama la, ni siri ya watuhumiwa pengine na watuhumu. Katika hili niishauri cdm irudi nyuma na kutafakari juu ya tuhuma zake hizo ambayo kiukweli inakera na inakatisha tamaa. Cdm ijue kuwa inajipanga kuchukua nchi na kwamba ni lazima sasa iseme vizuri na wenye nchi, naam wenye nchi ndiyo kwa kuwa ndiyo wenye jukumu namba moja la kuhakikisha nchi iko shwari. Iseme nao vizuri kwasasbabu kwa vyovyote vile ili itawale kwa mafanikio haitakuwa na budi kufanya kazi na dola hiyo hiyo. Vinginevyo wakifikiri eti kubadili top ranks ndiyo itakuwa suluhisho haitasaidia, kitakachokuwa kinafanyika ni kuwa cdm itahujumiwa mpaka basi. Mimi binafsi naogopa sana, cjui labda kama cdm ina mpango wa kukodi polisi, usalama wa taifa na jwtz kutoka nje ya nchi. Kama si hivyo, kwa vyovyote jamaa watarevenge kwa kutumia technical subotage ambayo itaifanya serikali kushindwa kabisa na hivyo wananchi kupoteza imani nayo. Ninaishauri cdm kuwa isitunishiane msuli na wazee wa kazi, iwe pole na ijenge urafiki kwaajili ya mafanikio ya baaadaye. Karibuni kwa michango yenye hekima na busara kwa lengo la kuwasaidia wakurupukaji na waropokaji kama akina lema (aondolewe ndani ya chama ni mzigo)
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  kichefuchefu..! Kajipange upya.!
   
 3. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujifunze malawi ambako bingu wa mutharika alijaribu kutemper na ageny ya usalama, akaivunja! Wewe! Kilichomtokea ilibidi airudishe iendelee kupiga mzigo. Alianza kufanyiwa technical subotage za kufa mtu bila kugundua. Alishauriwa na akagundua kuwa alikuwa amekosea hivyo akawarudisha jamaa mzigoni. Chezea majasusi ambao ni trained kwa mbinu zote safi na chafu! Utaisoma!!!!!!
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Inaonekana una bif na lema. Huko mi siendi, ila suala la polisi ni suala dogo. Kuna wachache wanaotumia matumbo yao ni kuwafukuzia mbali. Sio polisi wote wanasimama upande wa chama cha mabwepande, wengi wanaiunga cdm ila nadhani amri za jeshi unazifahamu.
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,854
  Trophy Points: 280
  Polisi,jeshi wanapewa orders na huwezi kukataa so wakipewa order shoot 'em they do it au hujui wanajeshi,polisi hawana neno hapana wao ni ndiyo mkuu?
   
 6. M

  Malolella JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bange bwana!!!
   
 7. z

  zee la weza Senior Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ni hamnazo
   
 8. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unajua hii nchi yetu imefika hivi ilivyo kwa uupuuzi wa watu wachache sana wenye mtizamo hasi na duni kama wako wewe.

  Sikulaumu sana kwa kuwa na wewe ni mmoja wa wale wanaofaidika na rasilimali za nchi hii kwa kuwanyonya wengine.

  Huwezi kuwa na mawazo mgando kama ya kwako kama hufaidiki na mfumo wa serikali ilyopo.

  Unataka kuiambia jamii kuwa pamoja na hujuma zinazofanywa na polisi pamoja na usalama wa taifa kwa cdm wao wakubaliane nayo tu?

  Ama kweli nchi hii ina kazi kubwa sana ya kutoa elimu kwa wanyonge wa nchi yao Yanzania.

  Ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kuwa ni mtu hatari sana kwa kizazi kilichopo na kijacho.

  Tanzania bila ya watu kama wa aina yako inawezekana.
   
 9. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua humu JF baadhi ya watu ni wapuuzi tu. usichokubaliana nami na kuniita mpuuzi mara hamnazo ni nini? hatutakubalina lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Kuna mtu ameshauri hapo juu kuwafukuza baadhi ya askari, bado haitasaidia. Ni vizuri tuishauri CDM ijipange vizuri katika swala la ulinzi na usalama wa nchi kwa kutambua kuwa dola ni lazima iheshimiwe. Tutatukanana humu mwisho wa siku hatukisaidii chama.
   
 10. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiroba unakosea sana kunitusi. nchi hii kamwe haitajengwa na watu kama nyinyi ambao kutwa nzima mnalewa viroba. utawala ni elimu, busara na ufahamu wa kawaida wa mambo. ninakubaliana na wewe kuwa ccm inawakandamiza sana wanyonge lakini tusipokuwa makini, tukawa tunakurupuka tu na kutokubali kukosoana kwa lengo la kujenga, tutatawaliwa na ccm mpaka basi. tufike mahali tukubaliane pale tunapokosea cc kama chama. bangi zako na laana zako kamwe hazitusaidii.
   
 11. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,682
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Mak a li o, kwa nini vyombo vya dollar visijitahidi kula vizuri na Mabocy wao Wa baadae!


   
 12. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ingawa ni magamba nakuunga mkono some how 4get about other how!
   
 13. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania itakombolewa tu hata muiname kiuno juu na kichwa upande. Hawa polisi siku zao zimehesabika. Tutawagekuia na kuwafundisha adabu tu siku sii nyingi kwani inaonekana wazi huko wanakowatrain hawawafundishi maadili ya kazi. Usipoteze muda kutuhadaa eti tutii amri. Kuna mtu anatii amri ya mjinga kama polisi wa Tanzania? Utawala DHAIFU unaishia ukingoni penda usipende. Umma utashinda tu sii uliona Libya, Misri, na kwingineko? Kina Gadafi walinga'ang'ana ila umma uliwazidi nguvu. Hapa Tanzania pia Kikwete anajidai na kuchekacheka ila siku inakuja atalia na kina Gadafi na wengine wengi wa aina hiyo.
   
 14. P

  Penguine JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hilo nalo neno. Cdm twaeni busara hii mpewayo bure

   
 15. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nadhani akiri yako ni 1/500 ya akiri ya mtoto wa miaka 10.hata hivyo sidhani kama CDM inahitaji ushauri kutoka kwa watu vilaza type hii.ulichoandika hapa kinakuonyesha jinsi ulivyo.
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Go to hell....unamwita mbunge wangu mropokaji? what a pathetic fool. nonsense.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hao Vyombo Vya DOLA ni PANDIKIZI la CCM; Ni kuwaacha kama ZAMBIA mpaka Hivyo Vyombo Vya DOLA vione

  Mwisho wao na KUHUZUNIKA... THE HARDER THEY COME THE HARDEST THEY FAIL...
   
 18. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Yaani woga ni kitu kibaya kweli! Yaani umefikia mahali pa kuona Tanzania ni Nchi ya Jeshi la Polisi? Je, na sisi watanzania ambao hatuko kwenye vyombo vya dola ni akina nani basi? Mi nadhani unaona kwamba sisi wengine ni wakimbizi tu waliotafuta hifadhi. Kwa taarifa yako Nchi hii ni ya watanzania wote na ukombozi tutaendelea kuupigania. Hakuna woga hapa, ni mapambano mpaka kieleweke.
   
 19. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,634
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Sio kosa lao,viongozi wa CDM wanatamani kuongoza nchi wakati hawajui inaendeshwaje,mtazamo wao ni ikulu tu wala hawafikirii ushirikishwaji wa vyombo vyengine katika ustawi wa nchi.
   
 20. H

  HAYABWANA Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika unatumia masaburi kufikir badala ya Kichwa mwanzoni nilifkir Dr Didas alikosea katika priciple yake aliyogungua kwamba badhi yenu munatumia ........... kifikir ila nadhani anastahili Tuzo ya heshma na aingizwe kwenye Guinnes book of records
   
Loading...