Tafakuri ya Mzee Regnald Mengi Kuhusu VodaCom, $450 000,na Mbwa-mwitu.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
mengi.jpg

dah, mimi binafsi niliposikia nilistuka, ila nikapotezea maana hii sirikali ya JK hata siielewi elewi.
 
Ni shukrani za pongezi alizopewa mkurugenzi wa Vodacom bwana Rene meza kwa kampuni yake kuchangia dollar 450,000/ kwa mradi wa mbwa mwitu tena ni kutoka kwa Rais Kikwete hii ni hata jamani!si bora wangeangalia miradi mingine jamani ss hili la mbwa kweli wakati ndugu zetu wengi tu hata maji safi hawana,na barabara?
 
nimepiga hesabu zangu za ngumbalu na kugundua kuwa hayo ma dola ya kimarekani ni karibia shilingi za Kitanzania 800 000 000. visima 8 vya maji safi na salama kwa ajili ya binadamu.
 
Voda ni wawekezaji na kwa tz,mwekezaji anachotaka ni kumfurahisha alieko madarakani na si jamii ili misaada ya kodi izidi kutolewa! Hata kama wangetoa £1,000,000 kwa mradi wa kuwinda njiwa pori pongezi zingetolewa pamoja na press conference juu! Anyway,days are numbered....!
 
Mengi kafanya tafakari juu ya hili la $ ku fund mbwamwitu huku raia wanakunywa mikojo@kibosho
 
Voda ni wawekezaji na kwa tz,mwekezaji anachotaka ni kumfurahisha alieko madarakani na si jamii ili misaada ya kodi izidi kutolewa! Hata kama wangetoa £1,000,000 kwa mradi wa kuwinda njiwa pori pongezi zingetolewa pamoja na press conference juu! Anyway,days are numbered....!

Kuna uhusiano wowote kati ya hawa mbwa mwitu na Hoteli ya katalii- Bilila iliyoko Serengeti? Rais Kikwete amekuwa mpenzi sana wa hii hoteli na amekuwa anaenda huko kwa mapumziko (so we have been told).

Nusu ya watumiaji wote wa simu Tanzania ni wateja wa Vodacom, lakini kodi hakuna! Leo hii rais anakaa na mkurugenzi kuomba USD 450,000? Something is not right here.

Front page ya Majira inasema kuwa mbwa mwitu waliohamishwa (toka Mara) ni 11. Yaani USD 450,000 kuhamisha mbwa mwitu 11 from what distance?! Na hii initiative ya kuhamisha hao mbwa mwitu iko chini ya serikali/wizara? Vodacom waliingiaje kwenye huu mradi?
 
Dola 450000 wakati wamasai hawana hata maji umeme wa taabu yaani kikwete hana hata haya?!! Yaani kweli anaacha mda wake anaamua kuongea na voda kuhusu hifadhi ya mbwa mwitu hapo najua kuna watu wengi wana dili hapo
 
Kampeni zingine mbaya sana!Kweli voda wameichoka CCM!Nibora wangetoa kimyakimya tu!Wanazidi kunogesha kampeni za 2015!Ngoja tuone mwisho!
 
Ni mwendelezo tu wa ushahidi kuwa nchi inaendeshwa na wrong people.
 
Nusu ya watumiaji wote wa simu Tanzania ni wateja wa Vodacom, lakini kodi hakuna! Leo hii rais anakaa na mkurugenzi kuomba USD 450,000? Something is not right here.

Front page ya Majira inasema kuwa mbwa mwitu waliohamishwa (toka Mara) ni 11. Yaani USD 450,000 kuhamisha mbwa mwitu 11 from what distance?! Na hii initiative ya kuhamisha hao mbwa mwitu iko chini ya serikali/wizara? Vodacom waliingiaje kwenye huu mradi?

US $ 450,000 divide by 11 eguals US $ 40909

1US $ = Tshs 1560

US $ 40909 equals to Tshs 63,818,182/=

Therefore Mbwa mwitu mmoja analamba Tshs milioni 64,000,000/=

Wacha Wasira atoke povu kututetea status quo, nchi yoyote inayoweza kuwa insestive kiasi hiki ...............................

  • Thanks
Reactions: FJM
Mods hii inafanana na thread nyingine humu ndani, samahani itakuwa vizyuri zikiunganishwa
 
Kamanda uwezo wake ni mdogo sana wa kufikiria na ni heri angekuwa anawasakizia watu vile anavyowaza kuwa ni sahihi kwa nchi maana hapo usiku kucha. Alijiridhisha kuwa hii kitu ya mbwa mwitu lazima atalamba credit...waaapiii!!!
Mpaka kufika twenti fiftini tutashuhudia mengi sana ya uyu kamanda mazee dah..
Ivi akikaa na familia yake sijui inakuaje..hakuna mtoto wa kumwambia "dah baba unachemkaga mpaka tunaona noma kitaa"
 
hao vodacom watulipe kodi waache unafiki wa kuchangia mbwamwitu tunajua hizo pesa ndio wanatumia kwenye hongo wakati wa uchaguzi ndio maana mpaka sasa hivi hakuna chombo kilichonunuliwa kumonitor jinsi simu zinavyopigwa kila siku zinapigwa danadana
 
Back
Top Bottom