CHADEMA kuchukuliwa hatua kali na Serikali kwa rafu zake - Wassira! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuchukuliwa hatua kali na Serikali kwa rafu zake - Wassira!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nzenzu, Aug 31, 2012.

 1. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

  My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!
   
 2. m

  manucho JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi mwaka bado haujaisha
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,958
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  Unaweza kufanya kosa la kwanza, ukajikuta unafanya la pili na la tatu...busara inatakiwa itumike kwenye zama hizi na sio longo longo. Badala ya kuzuia tunaweza kuanza kuharibu.
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hiyo haina kuuliza wanafanya makusudi kuua watu ionekane CHADEMA wanafanya fujo, lakini sasa ni wakati wa kupeleka serikali ya CCM the Hague, hawana tofauti na serikali ya Syria!!!

   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,940
  Likes Received: 9,804
  Trophy Points: 280
  Si alisema chadema haitamaliza mwaka? Sasa hivi kaja na habari nyingine ya kuitumia serikali!

  Kweli wassira ni muoga sana!
   
 6. L

  Lyogohya Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wasira ha ha ha anamalizia ubunge wa mwisho mwisho roho inamuuma, kazeeka vibaya muacheni tu.
   
 7. h

  holypotato Senior Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tangu lini huyu mzee akaongea kitu chenye mashiko??
   
 8. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,999
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa huyu babu....nahisi anazeeka mkabala na uwezo wa kufikiri wa ubongo wake.....:sleepy:
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,537
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  Sasa si ndipo ataharibu kabisa Nchi Itatawalika kweli au ndio anataka kusababisha waitwe Waasi kama Libya na Syria... Hajui Madhara yake kama ndio Watakaoshika Madaraka na Wao Kuning'inizwa kama Sadam!
   
 10. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Esther Bulaya anampa presha daily
   
 11. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa ni Mzee wakutokwa na mapovu
   
 12. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huhuhuhu! teh! tena kwa mkwara kakombeleza kilevi kilichobaki kwenye chupa za pia za wale walinzi wazembe!
   
 13. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anatafuta chama cha kuhamia huyu ni mzururaji tu hana lolote,mpuuzi kabisa
   
 14. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,529
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Kama anataka kazi ya U-refa amuulize refa wa mechi ya Azam na Yanga alichokipata mbele ya mkewe na watoto!
   
 15. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wasira kachoka ndo maana hata wananchi wake wamemchoka
   
 16. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwanini kila kitu kukimbilia mahakamani? Sijawahi kusikia Serikali inayofanyiwa maamuzi magumu na mahakama hapa duniani!
   
 17. m

  malaka JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaani kila mtu sasa ni msemaji wa serikali hadi Nape. Du hili lichama silipendiiiii.
   
 18. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huhuhuhuhu! Kazi kweli kweli. Ategemee manundu!
   
 19. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 672
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Serikali hii itakuwa ni refa asiyejua kanuni za mpira kwani ingekuwa inazijua ingeanza na yeye kwa kumwonyesha kadi ya njano kwa kulala eneo lake la kazi kule bungeni.
   
 20. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa!
   
Loading...