Kesi ya rushwa dhidi ya Mbunge wa Bahi Mh. Baduweli leo Kisutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya rushwa dhidi ya Mbunge wa Bahi Mh. Baduweli leo Kisutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sembuli, Sep 3, 2012.

 1. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wana JF, salaam.
  Nakumbuka leo ndio ile siku ya kusikilizwa kwa ile kesi namba 146 ya mwaka 2012 , inayomkabili mbunge wa jimbo la BAHI mkoani Dodoma CCM, mh Omary Baduwel Kwa kosa ya kuomba rushwa ya sh milion 8 nakupokea cash sh 1,000,000/=.
  Tafadhali mwenye updates au taarifa ya kilichojili huko mahakamani atuwekee hapa
   
 2. m

  mtemi mazengo Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa kutukumbusha, aliye na up dates plzzzz
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Huyo badweli ndio alistaili kpigwa bomu au risasi......piga bomu kabisa...lakini cha ajabu atashinda kesi na kuachiwa huru na kuendeleza wizi mitaani......wanaishia kupiga mabomu waandishi habari na wamachinga.
   
 4. payroll

  payroll Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi hii ndio ile kesi aliyoomba rushwa halmashauri ya wilaya ya mkuranga? au ipi maana magamba wana rushwa nyingi nyingi.
   
 5. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  yap ,ni ile ya kuomba rushwa kutoka halmashauri ya wilaya ya mkuranga pwani kwa niaba ya kamati ya bunge .
   
 6. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tegemea tu kusikia kesi imeahirishwa maana watasema ushahidi haujakamilika.
   
 7. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kulikuwa hakuna haja ya kesi alipaswa avuliwe ubunge na kutumikia kifungo ushaidi wa kupokea rushwa si ulionekana wazi
   
Loading...