Mbowe: Sisi sote ni ndugu, tusigombanishwe na vyama vya siasa, watanzania walikuwepo kabla ya vyama

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Ameongea hivi kwsbbb alikuwa hajalewa akilewa hapo ni vice versa
 
Pamoja na kuwa sikubaliani na Chadema mh. Mbowe ameongea kama mwanasiasa; hasa kwenye hili la kudumisha umoja hapo nampa pongezi kwani baadhi ya makamanda wa DMV walichukulia kama vile wapo vitani na asiye Chadema ni adui.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom