Zitto Kabwe, Meles Zenawi Role Model Politician | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe, Meles Zenawi Role Model Politician

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Sep 5, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Zitto Kabwe mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Chadema na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Naibu Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma.

  Kwa mujibu watu wa karibu wa Zitto Kabwe, yupo tayari kuishi na kufa akiwa kwenye mapambano kama ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Meles Zenawi, ambaye ni kipenzi chake alianza mapambano na aliyekuwa Mfalme wa Ethiopia Haile Mariamu, akiwa na umri wa miaka 19 na hatimaye kufanikisha mapambano yake ya kuingia Ikulu akiwa na umri wa miaka 36.

  Wafuasi wa Zitto Kabwe wametoa onyo kwa Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho kuwa mkakati wowote mchafu wa kutaka kumkwamisha Zitto kugombea urais wakati ndiye anayekubalika utakigharimu chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wafuasi wa Zitto ambao wengi ni kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Dar es Salaam, Morogoro, Kagera, Tanga, Mtwara, Lindi, Singida, Pwani, Ruvuma, wanapinga mkakati wa Mbowe na Dr Slaa kutaka kumzuia endapo watathubutu kumzuia basi wataamua kuwapigia kura wagombea wa vyama vingine lakini si Chadema.

  Zitto Kabwe inasemekana ndiye ambaye anaungwa mkono na karibu vijana wote wa nchi hii walioko ndani na nje ya Chadema, na hasa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, Itakumbukwa mwaka 2010 wakati wa kampeni za ubunge jimboni kwake Zitto Kabwe aliwaambia wapiga kura wake wampe muhula wa mwisho mwaka 2015 hatagombea tena ubunge bali atagombea urais ili aweze kuwatumikia Watanzania wote kwa ujumla wao.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mwambie afe leo.au mpelekee mwema.
   
 3. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna tetesi leo JK anaongea na wana habari, ni kweli??
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  So what?
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Too low a step for you to turn into a loud-speaker, this time not for the usual darling President Jakaya Kikwete but to the wanna-be Zitto!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  upuuzi mtupu toa source usilete habari za kijiweni kwenye gahawa hapa mmemlewesha na vijisent sasa mmeanza kumnadi.hapati kitu nakuambia ambaye hajahusika kwenye M4C hapati urais
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,619
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ritz, sina tatizo na member yoyote humu jukwaani kutoa maoni/opinion yake kuhusu jambo lolote, but to be honest, natatizwa sana na threads zenye "ill motives behind!"

  Naomba usome tuu mwenyewe ulichoandika, then ujiulize, what is the motive behind huu "uzandiki" kwenye hii thread alafu ujiulize kama is "it fair?", jijibu mwenyewe then next time, please don't!. (Ukijifanya hujaona what is wrong, let me know nitakuonyesha!).

  Kwa ushauri tuu, "what goes around comes around!" and "for every force directed towards a specific direction, , there is equal and opposite direction"!. Kumbuka your motive behind this thread kwa ZZK, could act on your kwa chochote unachokipanga!.

  All the best!.

  Pasco.
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Funguka Pasco, mimi nipo puzzled
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kamanda zitto ,mpambanaji wa kweli,mwenye uwezo wakulikomboa taifa hili ni wewe,na sisi wazee wa kaskazini tumeamua kukuunga mkono katika harakati zako za ukomboni.jipe moyo mkuu kijana wetu!
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ikumbukwe mwaka 2009 Zitto alichukuwa fomu ya kugombea ya uenyekiti wa Chadema, akimpinga Mbowe ambaye tayari alikuwa amechukuwa fomu ya kugombea kipindi kingine cha pili hali iliyoleta kizazaa kikubwa ndani ya chama hicho, kabla ya wazee kuingilia kati na kushauri Zitto aondoe jina lake.

  Wafuasi wa kambi ya Zitto safari hii wamesema wamejipanga kimkakati kuhakisha kwamba Zitto anagombea uenyekiti.
   
 11. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  akili ndooogo sana kichwani...
   
 12. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Thread ya ki-ZUZU kabisa hii! Kwani Meles Zenawi (role model wa ZZK) alipambana na nani? Waliokuwa kwenye chama chake au utawala mbovu wa Mengistu uliokuwa madarakani ukiwakandamiza wanyonge.

  Otherwise, kama upuuzi wa thread hii ni sahihi then Meles Zenawi sio role model wa ZZK kwani (Meles) hakupambana na walio wake bali adui na hiyo ina-justify tetesi za muda mrefu kwamba jamaa ni msaliti na ritz ametuthibitishia hilo.

  Vinginevyo, komeni kabisa kumchonganisha Zitto na chama chake.
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  The problem is the way we see the problem. Naamini pasipo shaka political landscape ya Tanzania inabadilika kadri siku zinavyoenda mbele. Lakini pia naona jinsi watu wanavyojipanga kutengeneza alliance zitakazoweza kulinda maslahi yao mbele ya safari. Kikubwa na cha kuzingatia ni kutimiza wajibu wetu vyema. Alliance yoyote ile isoyokuwa na uadilifu inajichimbia kaburi mbele ya safari. Zitto, all the best with your role model who has fallen down recent. Just remember he was no nonsense person...
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mimi na wewe, (lakini zaidi Zitto anajuwa) tunajuwa kuwa umri wa kugombea urais TZ, hadi hapo katiba itakapobadilika, ni miaka 40, kwa hivyo sidhani kama vyanzo vyako vitakuwa vimekutonya hilo.

  Kinyume na hilo, ni kuwa Zitto anataka kufanya kama alivyofanya Zenawi, kuiingia madarakani kwa mtutu, je kutokana na vyanzo vyako, Zitto atampindua JK?

  Ah! hapo red, najuwa kuwa ni kigugumizi cha keyboard.
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  How old are you???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu chama,
  Jamaa badala ya kujenga hoja wanaleta vioja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 18. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  unapima upepo baada ya biashara kukamilika.pole kwa kuwa twatambua kufikiri ni kazi ngumu hivyo sina shaka na uvivu wako wa kufikiri,maneno yako yamelandana nawe na pia unaonesha jinsi na namna ambavyo umefungwa kifikra.ritz chagua aina nyngne ya maisha propaganda si level yako.
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Some people still think they can strike others with lighting, teh teh teh! This is the way I have understood this thread Pasco. Inawezekana nakosea, and I stand to be corrected.
   
 20. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Pasco pamoja na kutoa changamoto juu ya habari za kijiwe cha Ritz, ulibonyeza LIKE kwenye post yake. Napata mashaka na wewe pia kwani Ritz anafahamika kua hata akiiba mtihani bado atafeli kesho yake. Vitu pekee kichwa chake kinaweza kukumbuka ni kula, kulala, na kuongea asichokijua.

  Bofya UNLIKE ndo urudi tena Pasco au hukusoma kwanza?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...