UVCCM zingatieni yafuatayo sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM zingatieni yafuatayo sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Sep 5, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Katika kipindi hichi cha uchaguzi ndani ya CCM na jumuiya zake ni vyema UVCCM kama jumuiya mojawapo muzingatie yafuatayo, Mosi ni katika usaili wenu munaotarajia kuufanya tarehe 8.09,2012 kwa maana nyingine kesho kutwa ni vyema mukawa macho na kuwaengua wagombea wenu hasa nafasi ya umakamu waropokaji kama Salum hepi kwani tayari kashajenga na kuzidisha chuki kati ya jamii na jumuiya yenu kutokana na jinsi anavyoropoka.

  Akiona yamemzidi anakimbilia TANURU LA FIKRA na kusema kuna watu wamehijack akaunti yake hivyo anaomba msamaha kitendo cha kuomba msamaha ni cha ungwana sana ila kwa mtu kama yeye kuomba msamaha kuna mawili kwanza akufikiria pindi alipokuwa anaweka hiyo post yake yenye kushabikia jinsi mwandishi alivyouwawa, pili kwa upande mwingine kaonyesha udhaifu wake mpiganaji always anastick katika maoni yake, kama watanzania ni vyema tukawa na uzalendo mtu hata kama sio ndugu yako kauwawa katika mazingira kama hayo.

  Ni jukumu letu kukemea na sii kushabikia wote nafkiri tuna ndugu ambao wengine ni wazima na wengine washatangulia mbele ya haki kwa waliotangulia mbele ya haki ni jukumu letu kukumbuka ni manjozi ya namna gani tuliyopata, ukishakumbuka ni majonzi ya jinsi hiyo wanayopata baba wa bw,Daudi, mke wake, mama yake mpendwa, na hasa watoto ambao wakikuwa wataona picha na video jinsi babayao alivyouliwa kikatili, mwisho ni vyema pia mukaangalia kwa makini swala lingine la umri wa wagombea wenu kwa msaada mtu kama jerry slaa ni above 30, mtu kama Mavunde Antony ni above 30, ni jukumu lenu kuangalia yasijeyakatokea yalee ya Masauni........
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na mtoa mada, ccm na jumuiya zake zinakabiliwa na siasa za makundi hii inasababisha hata mtu asiye na uwezo kama ally happy wanakuwa na kiburi cha kugombea makamu mwenyekiti wakati hakijua kabisa kuwa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo . (Poor reasoning capacity) kwa sababu ana god father anapata kiburi cha kugombe hana sifa hata ya kugombea katibu wa tawi jumuiya, Ally ni mtu hatari ana majivuno, chuki ,dharau na kiburi kwa sababu anfanya kazi kwa prince riz.

  Mavunde na jerry nao hawafai kwa sasa ni wajumbe wa baraza la vijana taifa la sasa ni muhimu tukubaliane kwamba hili baraza la sasa ndio baraza la vijan bovu tokea Tanu youth league na uvccm imeanzishwa.jerry na mavunde watuambie wamelifanyia nini uvccm,nawashauri wawapishe vijana wapya wenye mawazo mapya waijenge uvccm mpya
   
Loading...