HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 547
kimfumo watumishi wa serikalini wengi hawajui dhana ya uwajibikaji inafanyaje kazi ,tumeshuhudia matukio mengi yenye kutisha na hakuna kiongozi anatikisika kana kwamba walipanga iwe hivyo ,sisi kama wanajamii hili hatuwezi kunyamazia ujinga huu kwa sababu hatujengi jamii ya kesho itajifunza nini kutoka kwa mfano lukuvi,au pinda. au kova au saidi mwema na wengineo wengi . ni wakati sasa wanajamii kulitazama hili kwa mfumo tofauti na tujadili hapa nini kifanyike kujenga nidhamu ya utumishi .wanajamii karibuni jamvini