Nape hakuna kauli ya CCM juu ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape hakuna kauli ya CCM juu ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makyomwango, Sep 5, 2012.

 1. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu
  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu juu ya umauti uliompata mpendwa wetu mwangosi kule Nyororo Mufindi. Kinachonisikitisha ni kwamba Magamba ambao wamekuwa wakijitanabaisha kuwa ni wapenda amani, utulivu na utawala wa sheria, hawajasema lolote juu unyama wa kutisha kwa mwandishi wa habari
  • Je hii inaashiria kuwa CCM wamefurahia unyama huu?
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nape, UVCCM kimyaaaaa!

  Wameshikwa pabaya!
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wanahusika kwenye hayo mauaji.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kauli au kupongeza utekelezaji wa maagizo yao!:loco:
   
 5. t

  trplmike JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Tumemzoea Rais wetu pindi kinapotokea kifo kinachowahusu watu au jamii huwa anakuwa wa kwanza kutuma salam za rambirambi, ila ukweli sijasikia kama katuma salam za rambirambi kwenye hiki kifo cha Mwangosi?
  Je Rais ametuma salama za rambirambi? au ni mimi sijaona
   
 6. M

  Mopiaa Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huyo JK atume au asitume salamu za rambirambi in sawa tu. System imehusika ktk mauaji hayo.

  Nadhani yuko busy kujiandaa kwenda Lesotho kwa mfalme Mswati kushuhudia sherehe za kila mwaka za mabinti MABIKRA kupit robo tatu uchi mbele ya mfalme ili aweze kujichulia kinda bichi. Si unajua tena huyu JK anavyopenda hayo majamboziii
   
 7. M

  Moony JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na waziri wa habari je, ametuma????????
   
 8. d

  defence JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2008
  Messages: 508
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Nepi yupo kweli???
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,554
  Trophy Points: 280
  Wako wanaunda tume kwaajili ya kutoa tamko kuhusu mauaji ya Daiudi.
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inasemekana kitu kilichowakera Polisi ni mavazi ya Marehemu sehemu kubwa yalikuwa ya Kaki mavazi wanayotumia Cdm
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mmmmmhhhh subiri nikumbuke, ila kama vile alikua busy na mambo yake tu
   
 12. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rais Kikwete alikuwa na safari ya kwenda Iringa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Asha Kipangula yaliyofanyika tarehe 3/9/2012 imefahamika.

  Safari ya mheshimiwa Rais ilikufa ghafla baada ya kusikia kuna mauaji ya mwandishi wa habari mkoani Iringa yaliyofanywa na Askari wa jeshi la Polisi. Kama kawaida makamanda wa Intelligensia walimshauri mzee asiende Iringa maana hali si shwari. Naye Mheshimiwa bila kujali aliyefariki ni kada na mpiganaji aliyechangia Mororgoro kupeperusha bendera ya Kijani enzi za uhai wake na kuamua kumtosa na kusema heri lawama kuliko fedheha.

  Hofu iliyopo kwa kitendo hicho ni kuwa kiongozi huyu ni mwoga wa matukio na amedhihirisha hata kama kutatokea machafuko nchini yeye atakimbia kwa kuwa hawezi kukabiliana nayo.
   
 13. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Hebu tuache hizo jamani,rais itabidi awe anatoa salama kwenye vipindi vya matangazo ya vifo sasa
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,554
  Trophy Points: 280
  Ameshalitumia jeshi la Polisi salamu za hongrea kwa kazi ngumu waliyoifanya huko Iringa.

  Na mwezi mmoja baadae kutakuwa na hafla ya kuwapandisha vyeo maofisa wote wa polisi.
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Sidhani, alikuwa na majukumu mengine.
   
 16. M

  Malova JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Labda kupitia Prof. Mwandosya. Lakini hata CHAMA CHAKE sikuona kikishiriki, wakati huohuo wanasema CHADEMA ndio tumeua
   
 17. M

  Malova JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Alipokufa Kanumba salamu alitolea kwenye vipindi vyo vifo?
   
 18. i

  iseesa JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HAPANA. Siyo mwoga ila misiba ya ndani haina "LADHA"
   
 19. M

  Malova JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wao (POLISI) wanaovaa kaki nao ni CHADEMA?
   
 20. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Anasubiri ziwe nyingi atatuma kwa pamoja.
   
Loading...