Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SAGANKA, Sep 4, 2012.

 1. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno kufikiri,lakini mwisho bwana mmoja akasema haiwezekani tukaungana huku tukishuhudia tofauti za kiitikadi ndani ya wanajf wenyewe.Partly nakubaliana nae.

  Misri walitumia hii mitandao ya kijamii kufanya mapinduzi makubwa yaliyobadilisha mfumo wa kidikteta na walau wakashuhudia hatua muhimu ya kuelekea katika demokrasia kwa kufanya uchaguzi,Tunisia nao vivyo hivyo. Nasema wanajf ni watanzania halisi kwani miongoni mwa sifa ya mtz halisi ni kulalamika tu bila kuchukua hatua.

  Nchi ikifika hapa basi Mungu amjalie Kikwete aendelee kupata amani katika uongozi wake.Kwa mara nyingine wanajf naomba tutumie mitandao hii hasa kwa wale tuliopata bahati walau ya kubofya,na nadhani kwa kiasi kikubwa uoga si mkubwa sana.Matukio ya hivi karibuni(yaani ulimboka,ally zona na David)yanatosha,tusisubiri tukio jingine ili sisi tuendelee ku-comment.

  Hivi kweli hii ndo kazi tuliyoichagua,tukatae,tuingie barabarani tupinge mambo haya.Aliye tayari kuninga mkono nami niko tayari kutoa namba zangu za simu.Hatuwezi kuendelea kuivumilia hii serikali dhalimu,isiyokuwa na tofauti kabisa na serikali zilizo wazi kuwa ni za kidikteta.Nitawapa namba zangu ifikapo saa nane na dakika tano mchana ili ikiwezekana tupange pakukutaniaili nasisi tuweze kuona tutafanya nini juu ya mauaji na dhuluma zinazoendelea.

  Tahadhali:pandikizi asijidanganye kufika,najua hii ni hatari sana mimi kujiweka wazi,lakini ni hatari zaidi kwa pandikizi atakaedhani anaweza kunipeleka msitu wa pande
  .
  Karibuni tuunganishe nguvu
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sangaka,mawazo yako ni mazuri ila kuunda chama cha nini??kama ni cha siasa.hivi vilivyopo vinatosha.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ready to die...kikwete na ccm yako utatumaliza wengi lakini mwisho wako 2015 kumbuka maneno ya nyerere juu yako kuwa wewe ni mtoto yaani huwezi ongoza polisi wako watamaliza risasi raia tutabaki
   
 4. Mzalendo2015

  Mzalendo2015 JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,964
  Likes Received: 2,327
  Trophy Points: 280
  SANGAKA,

  I can real smell a rat from your thread!!!

  Yawezekana kabisa wewe ukawa katika lile kundi la Timu iliyomsulubisha Dr. Ulimboka kule msitu wa Mabwepande. Unataka upate namba za watu halafu uanze mikakati ya kuwasulubisha. Pole sana mkuu. Wewe endelea na gamba lako. Watanzania walishachagua njia bora kabisa ya kuwakomboa nayo ni M4C ya CHADEMA.

  Ukombozi wa Mtanzania kupitia CDM upo karibu sana.

  We subiri tu mwaka 2015.
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama kweli uogopi SAGANKA basi nakuomba uingie humu jf na jina lako halisi au basi waambie moderators uwe 'verified user' nami nitakuunga mkono wa hali na mali
   
 6. k

  kipuri Senior Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Acheni kujidanganya nyie, humu wote waoga... Eti muanzishe mapambano!.. Kama kuona utumbo wa David tu hapa mmeanza kuweweseka, mtaweza kuvumilia mabomu ya machozi?
   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Haya maneno ndio yale wanayo toa kina Slaa halafu wao wanasepa wengine wanauawa. Watu tuache kuishi na familia zetu tukufate wewe kwenda kufanya fujo ili Slaa awe rais, hivi unajua balaa la uhaini wewe? Rudi kwa wakuu wako uwaambie kuwa huku JF wamekustukia.
   
 8. S

  Sukula JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kwa TZ bado sana,watu tumegubikwa na uoga na usaliti.Hivyo bado tuna safari ndefu sana kuufikia ukombozi.
   
 9. k

  kipuri Senior Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu..
  Wajinga ndio waliwao, badala ya kuhamasisha watu wajitume kwa kuchapa kazi kwa maendeleo ya taifa wao wanahamasishamapambano na serikali
   
 10. m

  majebere JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Sio woga, kwanini tupoteze maisha yetu ilimradi kabila fulani lipate urais.
   
 11. k

  kipuri Senior Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Thubutu!!!!!?

  Anahamasisha wenzie wakati yeye yupo mafichoni
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Kuwa siriaz mkuu, pia uheshim JF
   
 13. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwi Kwi Kwi Labda aseme slaa au Mbowe ndio ataeleweka wewe unknown user utasubiria sana japo wapo wenye nia ya kukuunga mkono lakini Wana angalia bob we lianzishe ukipata watu 1000 basi Mimi nitachukua namba 1001
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha Slaa wala Mbowe, wao wenyewe ni waoga, au umesahau lile tukio la Arusha. Mbowe na umri wake wote aliweza kuruka ukuta
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wewe kama mjasiri fanya kama wale wachina wachache Tianamen Square waliokuwa wabishi mbele ya vifaru!
   
 16. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi kuwa wewe ni member wa msitu gani tena ule,? Join Date : 9th June 2012Posts : 86Rep Power : 330Likes Received25Likes Given0
   
 17. m

  majebere JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Huko ni mbali mkuu, yeye atafute askari yuko peke yake halafu alianzishe nae ndio atapata majibu.
   
 18. r

  roy allan Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo ngumu sana bado mazee jipange kivingine pengine tutatoka zpo njia nyingi tu zakupinga hii mambo lakin c lazima watu wajivishe mabomu na kutenda uyawazayo ma friend sangana
   
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,105
  Likes Received: 11,257
  Trophy Points: 280
  weka basi namba yako ya simu.
   
 20. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Walioamua huwa hawabeep mkubwa, hupiga moja kwa moja. Kona zote za nini.
   
Loading...