CUF wazindua kampeni '' MABADILIKO YA GHAFLA'' Jimbo la BUBUBU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF wazindua kampeni '' MABADILIKO YA GHAFLA'' Jimbo la BUBUBU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Sep 5, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  CUF Bububu by-election legislator, Issa Khamis

  WAKIMTAMBULISHA MGOMBEA UBUNGE ISSA KHAMISI

  MBELE YA WANACHAMA WAO WAMESEMA CCM IMELITEREKEZA JIMBO HILO.

  WAMEWAAMBIA WAANGALIE MFANO JIMBO LA MJINI MKONGWE LILIVYO NA MAFANIKIO
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hiki si kipindi cha sensa au ni sensa ya tanganyika?
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii picha lazima itoke IPP MEDIA, ina harufu ya ushabiki! Huyo mgombea alikuwa peke yake mkutanoni?
   
 4. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  IPP MEDIA ndo chama gani tena!
   

  Attached Files:

 5. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba chadema wanatishia mustakabali wa watawala na siyo sensa wala chochote chengine.
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Subirini chadema waje huko bububu...........utasikia oh!udini mara wabara wengi n.k msijambe twaja huko....M4C for ever
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CDM Mnaona Fiada za Kukubali Kuolewa? Nyinyi Mlikataa Ndoa ya CCM Mnapata Vipigo wenzenu CUF ahaaa Wanapeta TU. Kipindi cha Sensa wenyewe wanatwanga tu Mikutano na Kulindwa na PoliCCM. Kweli Ndoa TAMU
   
 8. m

  mecy JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 424
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ifike kipindi tuukatae muungano,hcho chama kimekumbatiwa na chama cha magamba hakiwezi furukuta,na hyo ndoa itakuwa batili 2015,bibi harusi atachomoa maana aliekuwa bwana harus atagoma kugeuzwa kuwa bibi harusi,
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Cuf na ccm ni wana ndoa ndo hao hao plus cuf pia ni uamsho... Hawapiti wanapoteza mda wao
   
 10. s

  sad JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wacha c.cm na cuf wapimane nguvu, chadema wakienda jussa atasema ataanza udini na ubara
   
Loading...