Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya polisi kuwa ndio wauwaji wa wananchi wasio na hatia kwenye mikutano ya vyama vya siasa, nashauri bunge litengue sheria ya polisi kuarifiwa na kutoa ulinzi kwenye mikutano yote ya vyama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi sasa mkutano wa hadhara wa baraza la vijana wa CHADEMA unaendelea viwanja vya sido Mwanjelwa,watu ni wengi sana na polisi wamemwagwa kama kawaida,nitawaletea update zaidi.
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Alhamisi, Septemba 06, 2012 07:36 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Pamoja na kujitokeza kwa baadhi ya wanasiasa wasiokubali kuwepo kwa kasoro za msingi katika Muungano ukweli milelele utabaki mahali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Machano ALLY asema kwa kuwa CUF inasingiziwa na CCM kuwa ni chama cha waislam, basi "waislamu wote jiungeni na CUF, maana CCM haiwataki ...". THEN akamkaribisha PROF LIPUMBA, yeye LIPUMBA atoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1) Sikatai kabisa ATCL ilifanya madudu mengi sana katika nyanja zifuatazo:- a) uteuzi wa wakurugenzi waandamizi bila ya kufuata taratibu. b) Ukodishaji wa ndege kinyume na utaratibu na...
13 Reactions
69 Replies
6K Views
Mwandishi D.Mwangosi ameuawa kikatili na jeshi la Polisi-Iringa chini ya uongozi wa RPC Kamhanda; ila RPC huyo ajue kuwa anastaafu vibaya damu ya D. Mwangosi iliyomikononi mwake haitaoshwa hata...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari...
13 Reactions
93 Replies
10K Views
Tanzanian Bunge (Parliament) in Dodoma Contributing their views before the Constitutional Review Team currently in Kigoma Region, many of the suggestions for the new constitution include...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu mnalinzungumziaje hili swala la uteuzi wa viti maalumu kwa akina mama wa CHADEMA, mchana huu nimepita pita kwenye vijiwe vya kahawa huku choma cha nkole nikawasikia maadui zetu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara...
5 Reactions
154 Replies
10K Views
Mwananchi Communications Ltd Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Tafsiri ya viongozi wa serikali hii juu ya maandamano ya CHADEMA imekuwa ni chama cha vurugu na kinachovunja amani! Je Police hawa na viongozi wanasemaje juu ya maandamano ya Amani ya waislam, je...
8 Reactions
85 Replies
9K Views
Alhamisi, Septemba 06, 2012 07:53 Na Prince M. Bagenda *Ni kati ya Malawi na Tanzania *Nyerere Doctrine ilibuniwa na Nyerere kabla ya uhuru *Ilianza kutumika mwaka 1963 *Malawi ilijitawala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
eastafrican.co.ke
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kila mtanzania mwenye nia njema na nchi yake bila shaka anatamani kuona Tanzania yenye amani, utulivu, na haki! yote haya yanawezekana endapo kutakuwa na mabadiliko na mageuzi ya namna nchi...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
MKUTANO WA UFUNGUZI WA SHINA JIPYA LA CCM LEICESTER, UINGEREZA: Kidumu Chama cha Mapinduzi! Kutakua na mkutano wa ufunguzi wa shina la CCM Leicester, Tawi la UK. Katika mkutano huo vile vile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ukweli uliyo wazi baadhi ya viongozi wa chadema ni waropokaji sana bila hata kufikiria,Kwa nini nasema hivyo; - Chadema wakiwa kwenye mkutano wao miezi kadhaa iliyopita katika eneo la Unga...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
naomba kuuliza wana JF kama kuna anayefahamu malipo ya kila mwanatume/kamati mara wakamilishapo shughuli za uchunguzi, na malipo hayo hutoka fungu lipi? naomba nisaidiwe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kawaida ya CCM wale wanaodaiwa kuwa ni wauwaji wanatarajiwa kufikishwa mahakamani tarehe 10/09/2012 ili kuziba chokochoko na kunyooshewa vidole na jamii juu ya mauwaji hayo na kama ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA) Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II(wa pili Kushoto)akiwa na Uongozi Mzima wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema DMV kwaajili ya mapokezi. Mbunge...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Back
Top Bottom