Tukiangalia safari na mwenendo chanya wa siasa ya Tanzania, tutakubaliana kuna chama kimoja tuu ama viwili vyenye think tanks wenye kufanya kazi yao vizuri, hivi ni CDM na CUF
ccm wao wamekuwa ni...
Kuna polisi mmoja alijeruhiwa mguu wakati Mwangosi anauawa. Ni yule aliyemkumbatia Mwangosi kabla hajauawa na bereti nyeusi. Mbona polisi wenzake hawamzungumzii? Na inaelekea aliumia sana...
Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.
MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??
(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi,m Mwigulu Nchemba, Madelu Lameki, amefanya maandamano katika Kijiji cha Ndago.
Mwigulu alifika Jioni na Magari mawili, Moja ni...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nauye, leo atazungumzia mauaji ya Mwangosi katika Star tv.
Ninatafakari, atakuwa na jipya gani? Kama tuliilaani serikali ya makaburu kwa mauaji ya...
Jumamosi, Septemba 08, 2012 08:26 Na John Maduhu, Mwanza
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Wilson Kabwe, amesema suala la mgawanyo wa mali zilizokuwa za...
Jana waislamu waliandamana kudai kuachiwa kwa wenzao walioshikiliwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe, swali langu ni kuwa waliomba kibali? sensa ilikuwa imeisha?
Jumamosi, Septemba 08, 2012 08:36 Na Mwandishi wa Hirondelle, Arusha
MSAJILI wa Taasisi ya Kimataifa itakayorithi kazi za Mahakama za Kimataifa (MICT), John...
Saturday, 08 September 2012 00:23
ASEMA MATUMIZI YA SILAHA ZA MOTO HAYATATUI MIGOGORO, ASKARI WALIOKAMATWA IRINGA, KUFIKISHWA KORTINI JUMATATU
Lilian Lucas, Morogoro
WAZIRI Mkuu...
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea...
JUMAMOSI, SEPTEMBA 08, 2012 08:48 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi dogo la pingamizi la kesi ya msingi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...
Written by administrator // 24/08/2012 // Makala/Tahariri // 15 Comments
Na Laila Abdullah,
Ni ukweli usiokanushika wa Historia ya miaka 48 ya Mapinduzi na Muungano, kwamba Chama cha...
Saturday, 08 September 2012 00:41
By Edward Qorro, The Citizen Reporter
Dar es Salaam. A huge chunk of minerals in the country are reportedly being smuggled into a neighbouring country, a...
Afande Azizi alijipatia shukrani nyingi kutoka kwa Rais wa zanzibar baada ya kufanya kazi yake kama alivyo hitajika bila kujali Dinii au mahali inapofanyiwa ,binafsi nampongeza kwa Ushujaa wake na...
Jana katika kipima joto cha ITV, yalitolewa mapendekezo au maoni kutoka kwa wanajopo wa kipindi hicho kwamba kutokana na usumbufu wa kuruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara au maandamano, yawe ya...
Wadau mlio karibu na tv, angalieni kipima joto ITV.
Mada mezani, ni "Je, kuongezeka kwa mauaji ya raia katika mikutano ya vyama vya kisiasa ni kukua kwa demokrasia?"
Wageni waalika ni John...
Wakuu salama? nimetoka kifungoni naona mods wase.. walinifunga ila nimekutana na hii article huko Norway ni vizuri kuijadili hapa.
========
Norad advises Tanzania on oil, keeps Statoil at arms...
Nimemsikia ndugu Mnyika J.J kwa niaba ya Chadema akitoa wito kwa rais Kikwete kuwasimamisha kazi D.c.i Chagonja na R.p.c Kamuhanda kupisha uchunguzi wa mauaji ya kikatili na ya kusikitisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.