Malipo ya wanatume kila litokeapo tatizo linalohitaji uchunguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya wanatume kila litokeapo tatizo linalohitaji uchunguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mapambano Yetu, Sep 9, 2012.

 1. Mapambano Yetu

  Mapambano Yetu JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 180
  naomba kuuliza wana JF kama kuna anayefahamu malipo ya kila mwanatume/kamati mara wakamilishapo shughuli za uchunguzi, na malipo hayo hutoka fungu lipi? naomba nisaidiwe
   
Loading...