Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu jamaa anaonekana yupo makini sana katika kujenga hoja na anajiamini, yani mtu kama huyu na Mnyika, Lisuu na Zitto wakikaa pamoja nadhani CHADEMA itakuwa unstoppable. Kamati ya Uenezi ya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Katika mkutano wa CUF leo mchungaji aliyesimama kufungua kwa ibada ameonyesha mapungufu mengi. Ila mojawapo ni haya kwanza hajui tofauti ya madhehebu. Catholics hawana mchungaji, na hivyo...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea? Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano? Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa...
13 Reactions
106 Replies
10K Views
Culled from Daily Nkoromo Blog TAALUMA ya uandishi wa habari nchini kila kukicha imeendelea kudharauliwa na wanasiasa na baadhi ya viongozi ambao wanajiona taaluma zao ndio bora na zenye uwezo...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Video ya mauaji ya Daudi Mwangosi yawaliza wajumbe wa kikao cha kamati kuu ya chadema.Kikao hicho kilifanyika jana mjini Dar-es-salaam. Source:Nipashe la trh 10/09/2012. Kwa taarifa zaidi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Matukio ya Jeshi la Polisi kuua raia hapa Tanzania sasa imekuwa kama kitu cha kawaida. Mifano mauaji yaliyomuusisha Zombe, maua ya raia kwenye mikutano ya kisiasa na matukio ya Jeshi la Polisi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika usahili wa wagombea mbalimbali ndani ya Umoja huo jana Hali ilikuwa ngumu sana katika hatua ya kuwapa alama wagombea wa umakamu mwenyekiti wa Umoja huo Baada ya makundi kujionyesha wazi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, HUWEZI kutawala miili ya watu ukaacha mioyo yao. Ndiyo, mjumbe hauawi, ni kauli ya hekima ya tangu enzi za wahenga wetu. Mwandishi wa habari na Mwenyekiti wa Chama cha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesitisha operesheni yake ya M4C mkoani Iringa na kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Kikao hicho cha Kamati kuu kitafanyika siku ya Jumapili...
23 Reactions
145 Replies
13K Views
Kwa miaka sasa CDM wamekuwa wakionewa, kunyanyaswa na kukandamizwa na jeshi la polisi la Tanzania linaloongozawa na IGP Said Mwema. Na kwa miaka sasa CDM imekuwa ikitoa hutuba za motomoto kilaa...
27 Reactions
136 Replies
14K Views
Hapo zamaNI CCM ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Kilikuwa ni mali ya hawa wawili,wakulima na wafanyakazi.Na ukisoma historia na ukawafanisha viongozi wa wakati ule na walichohubiri...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Umoja wa wazizi wa CCM wanailaumu CHADEMA kwa kuungilia chaguzi za umoja wa vijana wa CCM. Wanasema chaguzi za UVCCM zinagubikwa na fujo sababu zinaingiliwa na nguvu kutoka nje. Katibu wa umoja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, msajili wa vyama John Tendwa akitoa vitisho, eti kuanzia sasa hatasita kukifutia usajili chama chochote, ambacho kwenye mikutano yake kunatokea vifo, ingawa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau, ni nini kimejiri leo katika kikao cha dharura cha kamati kuu ya chadema? Huu ukimya juu ya jambo hili humu jamvini si wa kawaida.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
chadema kina makundi makubwa matatu huku la kwanza likiundwa na idadi ya viongozi wanaotoka mkoani kilimanjaro na kuongozwa na mbowe, la pili lina watu kutoka manyara na arusha kiongozi wake ni...
3 Reactions
98 Replies
7K Views
  • Closed
Baada ya waandamani ya waislam leo kufanikiwa kuwakomboa wenzao ambao walishikiliwa na polisi kwa kukataa kushiri katika zoezi la sensa wamesema wanaenda kujipanga na safari hii NECTA wanataka...
0 Reactions
237 Replies
19K Views
  • Closed
Waislam mchana huu wanakusanyika maeneo ya kariakoo kwa ajili ya kwenda Wizara ya mambo ya ndani kwa njia ya maandamano. Lengo kuu la maandamano hayo ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali...
3 Reactions
784 Replies
67K Views
IT IS HAPPENING NOW; Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga...
1 Reactions
92 Replies
13K Views
Kwa hali ninavyoiona na kwa jinsi tunavoenda, dalili zinaonyesha wazi kuwa 2015 tutakuwa na serikali ya umoja wa taifa. Kwanini? 1. Naamini kukiwa na serikali ya umoja wa taifa ni rahisi kusonga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom