na Christopher Nyenyembe , Rungwe
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais asiyekuwa na wizara maalumu na Mbunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki, Prof. Mark Mwandosya, amesema kuwa kifo cha...
Salamu kwa wana jf! naomba nitoe taarifa/tathmini ya safari yangu kuanzia jumamosi 8 & 9/9/2012 toka Arusha hadi Dodoma via Singida road.
Nianze na tukio lililotokea Arusha mjini maeneo ya soko...
ALIKUWA DIWANI NA KAMANDA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO MWL siasi YATAFANYIKA LEO NYUMBANI KWAKE DONGOBESH-diwan huyu alifariki siku ya ijumaa,ni pigo kwa familia yke pamoja na chama kwa...
Nina hamu ya kujua kama waandishi wa Iringa wataenda kutoa taarifa ya maandamano yao kwa RPC ambaye wamemsusia kufanya naye kazi kwa namna yoyote. Au wataamua kutokuandamana au watakuwa ngangari...
Jina lake lapenyezwa kinyemela
Sumaye azungumza
Uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) si lelemama, sasa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Mary Nagu, anatajwa...
MWKT WA BAVICHA TAIFA NDG JOHN HECHE leo amewaliza wakazi wa keko alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwa nia ya kupokea wanachama zaidi ya 51 walioamua kuvua gamba,
kijana...
POLITICS AND POLICY
A Tullow Oil offshore oil platform. Australia-based Pancontinental Oil and Gas and its partners have struck deposits of natural gas on a Kenyan offshore block, the company...
WACHUKUA PICHA ZA MAREHEMU HOTELINI
na Waandishi wetu
KUNDI la watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama wa Taifa limevamia hoteli kadhaa jijini Dar es Salaam walizofikia viongozi...
Zifuatazo ni baadhi tu ya kauli zilizotolewa na viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti.Tuzipime na kuona jinsi viongozi wetu walivyo na upeo mdogo wa kufikiri..
1.Ndege ya rais
itanunuliwa hata...
Hatimaye Serikali imempeleka Mpanda Estomih Chang'a aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,huyu ndiye aliyetumiwa na ccm kuchakachua uchaguzi wa Meya Arusha.
Hakika Serikali imekubali hoja na...
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi...
Nimemsikiliza prof. kaongea kwa utulivu na busara kubwa angalau mwanzoni.Kajitahidi kutowaponda wapinzani wenzie wala kutoa maneno ya Jazba,ingawa katika kumalizia kashindwa tenganisha makundi...
Mmie naomba mnijibu kama mnamajibu nilikuwa nataka kujua tu kwa sababu naona Mbowe na Slaa wanazunguka miko yote kila kukicha wakishirikiana na wabunge wengine wa CHADEMA lakini sijawahi kumuona...
Hakuna kiongozi wa Afrika aliyeifahamu na kuifanyia mazoezi tafasri halisi ya DEMOKRASIA, kama yupo basi kiongozi huyo ameifanyia mazoezi kinadharia na hakuruhusu imugharimu, hivyo mbinu za...
10 SEPTEMBER 2012Na Mwandishi Wetu
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Jumiya ya Wazazi Taifa ambao umefanyika jana jijini Dar es Salaam, unadaiwa kuingia dosari kwa madai ya ukiukwaji kanuni ambazo...
Moja kati ya mashariti makubwa ya jeshi lolote duniani ni kutooji amri yoyote inayotoka kwa mkuu wako wa kazi. Polisi mmekuwa mkiua watu ovyo ovyo utafikiri nyie siyo sehemu ya jamii, au kama vile...
Tumeona kasi na ukuaji wa chama cha CHADEMA,kiukweli kasi yake ni kubwa na haishikiki.Hujuma nyingi wanafanyiwa ikiwa lengo la kukichafua chama na kukivunja nguvu ambayo imekuwa tishio kwa chama...
Chama cha wananchi CUF leo tarehe 9/9/2012 watanzindua kamaoeni mchakamchaka itakayodumu hadi mwaka 2015 na bila kulala wala kupumzika katika lengo la kuikomboa nchi katika mikono ya CCM na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.