BAVICHA Mbeya,mkutano wa hadhara live.Polisi Wamwagwa.

BAVICHA Mbeya,mkutano wa hadhara live.Polisi Wamwagwa.

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,090
Hivi sasa mkutano wa hadhara wa baraza la vijana wa CHADEMA unaendelea viwanja vya sido Mwanjelwa,watu ni wengi sana na polisi wamemwagwa kama kawaida,nitawaletea update zaidi.
 
Polisi kwenye mikutano ya CDM kutafuta nini?
 
Naombea AMANI na HEKIMA mpaka mwisho wa mkutano.
 
Nina wasiwasi Polis inao ni WanaCDM bali suala la muda tu, ukifika wataipigia kura Chama kubwa
 
watasema M4C wamekuja kwa kofia ya BAVICHA.
 
Shukrani mkubwa jitahidi kutupa update na usisahau kutuwekea ngalau picha mbili tatu kutuongezea munkari, tupo pamoja sana tunakuskilizia mkubwa.
 
Kaa mkao wa kukabiliana na mabomu ya hao vijakazi wa KJ.
 
Mungu awabariki mkutano uishe salama.!
 
Ndio maana wanakipwa ila Intelejinsia Leo vipi? Au satelite ilikumbwa na storm? Hao polisi hawatatutosha Siku Ikifika
 
Leo wasipoua ujue server ya nape iko low...


Hivi sasa mkutano wa hadhara wa baraza la vijana wa CHADEMA unaendelea viwanja vya sido Mwanjelwa,watu ni wengi sana na polisi wamemwagwa kama kawaida,nitawaletea update zaidi.
 
Back
Top Bottom