Siri nzito ndani ya CCM

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari.

Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM. Katika nyakati tofauti, kada wa CCM alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha CCM kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA.

Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua CCM ni kwa ambavyo CHADEMA imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo CCM walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya CCM kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA lakini bado watu wanalaumu serikali ya CCM na polisi na si CHADEMA kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana.

Kwa sasa viongozi wa juu wa CCM wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama
 
ni wazi kufikiria hiki ndicho walichopanga na kinachowaumiza kichwa ccm...habari kutoka ndani? i doubt..haya ni mawazo tu...
 
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari. Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litejwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM. Katika nyakati tofauti, kada wa CCM alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha CCM kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA. Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua CCM ni kwa ambavyo CHADEMA imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo CCM walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya CCM kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA lakini bado watu wanalaumu serikali ya CCM na polisi na si CHADEMA kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana. Kwa sasa viongozi wa juu wa CCM wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama

Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.
 
Hakuna mbinu tena hapo, wanachotakiwa kufanya ni kuchukua chao mapema kabla ya 2015,
 
ni wazi kufikiria hiki ndicho walichopanga na kinachowaumiza kichwa ccm...habari kutoka ndani? i doubt..haya ni mawazo tu...
Umeona bwana Nyabhingi. Hivi uwezo wake wa kutunga uongo ndo umeishia hapo? teh teh teh. JF bwana usipowajua majuha kama haya unaweza kuumiza kichwa ile mbaya.
 
sema unatuwakilishia mawazo yako, na sio siri nzito! sasa wewe mwenyewe ulieleta huu uzi kweli we unaona hii ni siri? kuna siri gani sasa hapa, ivi unajua maana ya siri nzito wewe? hiki ni kitu ambacho mtanzania yoyote kwa sasa anaweza kukifikiria tu hata mtoto wa darasa la saba anaweza fikiria hili.
 
Mbona Mbinu rahisi hawataki kuitumia? Wamwambie JK alihutubie taifa tu atangaze kwamba Nchi imemshinda/Imewashinda na wanawakabidhi watu wenye akili ili waiongoze ambao wanapatikana Chadema tu.
Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
 
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari. Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litejwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM....

Kidogo hii kitu inasound. Na baada ya hiyo kwisha wameamua kumtumia msajili wa vyama vya siasa.
 
Sipati picha chadema ikichukua nchi wakuu wote wa mikoa, wilaya, IGP, maRPC, RCO's makatibu wakuu wa wizara, mawaziri wa JK na wabunge wote wa CCM sijui watakimbilia wapi, wanafanya kila mbinu CCM waibe kura wazidi kubaki madarakani msishangae kauli ya RPC wa Iringa ni wazi alitumwa kuua kwani magamba hawana pa kukimbilia hawalali usingizi.

Nawashauri CUF, NCCCR, ADC unganeni na chadema mchukuec nchi ingawa hata wakikataa chadema ina uwezo mkubwa wa kuchukua nchi bila msaada wao.
 
We mwenye upeo mkubwa wa kufikiri na kutafakari pinga kilichoandikwa kwa hoja kama ni uongo.
endelea mimi nitakuwa nakupa nguvu ili uendelee kutema pumba nilishalijua mapema ndiyo maana niliandika, niijua wewe utakuwa wa kwanza kufyatuka. Siwezi kuchangia mada ambayo imeletwa na wacheza taarabu, hayo huwa wanyaongea wanawake wanapokuwa saloon, kama wewe mmojawao endelea, tena leo weekend waweza kuwafuata huko huko mnyoshe vidole vizuri.
 
sema unatuwakilishia mawazo yako, na sio siri nzito! sasa wewe mwenyewe ulieleta huu uzi kweli we unaona hii ni siri? kuna siri gani sasa hapa, ivi unajua maana ya siri nziti wewe? hichi ni kitu ambacho mtanzania yoyote kwa sasa anaweza kukifikiria tu hata mtoto wa darasa la saba anaweza fikiria hili.
Nakubaliana na wewe ila safari nyingine kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Ni aibu kuwa JF halafu unaandika maneno kama haya ambayo kimsingi hayako katika lugha yetu ya Kiswahili!
 
maisha bora kwa kila mtanzania ni kauli ya kupata kura, moyoni ni maisha bora kwa viongozi, ndio maana wanakimbilia huko. Kumbukeni baba wa taifa alihoji - kuna nini ikulu?
 
hii ni kati ya mbinu ya kitoto - kuua! du na ni dalili kufilisika kimawazo na mikakati, kweli nyani anapokufa miti yote huteleza! kila mti wanaoshika haukamatiki
 
Nakubaliana na wewe ila safari nyingine kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Ni aibu kuwa JF halafu unaandika maneno kama haya ambayo kimsingi hayako katika lugha yetu ya Kiswahili!

mimi ni binadamu, alafu hivi pia tunavyotumia ni vifaa vya kutengenezwa na watu, so kukosea matumizi yake ni swala la kawaida! washangae hao walio jf na kuleta uzi ambao hauna kichwa wala miguu, ambao hauna mashiko.
 
Hakuna jinsi ccm watakwepa kuporomoka.Watu wananunua TV Flat screen hata kama ile ya
zamani aliyonayo inafanya kazi.Hii ni kutokana na ukweli kuwa inakuwa na vitu vingi vya ziada.
Hivyo wananchi wameshaichoka CCM hata kama ingetekeleza ahadi zake zote.Kumbuka Libya.
 
Back
Top Bottom