CUF LIVE TBC: Lipumba aonesha alivyo prof wa darasani, atoa takwimu za maswali bila majibu

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
112
Machano ALLY asema kwa kuwa CUF inasingiziwa na CCM kuwa ni chama cha waislam, basi "waislamu wote jiungeni na CUF, maana CCM haiwataki ...". THEN akamkaribisha PROF LIPUMBA, yeye LIPUMBA atoa takwimu tu za matatizo ya nchi yaliyoshindwa kutatuliwa na CCM bila kusema iwapo akipewa nafasi maswali anayouliza ya kiuchumi na kisiasa atayajibu vipi. FUATILIENI HOTUBA ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom