Watanzania wenzangu taifa letu liko katika kipindi cha mpito kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli.Ni katika kipindi hiki tutarajie mambo mengi ambayo wengi hatukuyazoe kuyaona bali kuyasikia ktk...
We are dealing with people who are going to be yellow when the favourite colour of the day is yellow, blue when the favourite colour of the day is blue, orange when the favourite colour of the...
Sunday, 09 September 2012 09:22
YAKUTANA LEO DAR, MTEI AMTAKA KIKWETE ATOE TAMKO KUHUSU MAUAJI HAYO
Fidelis Butahe
KAMATI Kuu (CC) Chadema inakutana leo katika kikao chake cha dharura...
Be great follower. The first thing they teach the new cadets at West Point is to follow directions!
Set your heart on leading people to greatness, not on your own personal greatness.
Learn from...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama, Mheshimiwa Freeman Mbowe, itakutana tarehe 9/9/2012 katika kikao cha...
Wadau sasa hivi serikalini naona kuna ukata mkubwa tu.Kuna taasisi moja ninayoifahamu ambayo mpaka sasa inaonekana haijapata fungu kutoka hazina tangu bajeti mpya itoke na kama kuna fungu lilitoka...
Wizara ya mambo ya ndani imetoa statement kwamba waziri Dr Emmanuel Nchimbi ameunda Kamati ya kuchunguza tukio la kifo cha Daudi Mwangosi na sio Tume.
source: habari za saa{ITV}
TAARIFA KWA...
CCM imeendelea na programu zake za kufundisha umafia vijana na sasa wapo kambini kijiji cha Lungo Kata ya Mtibwa huko wilayani Mvomero. Lengo kubwa ni kuwatisha wananchi ili waendelee kutawala...
Karibuni sana jimboni hapo kesho jumapili, tuna hamu ya kuja kusikia ufafanuzi juu ya haya fafuatayo, kwa nini mbunge dr Kafumu kapokonywa ubunge? kwa nini makada wetu walipanda na bastola...
Tumeshuhudia siku za karibuni vurugu na mauaji katika mikutano au maandamano ya amani ya CHADEMA na kauli ya viongozi wa serikali na chama tawala CCM.Kwa mtu mwenyeakili timamu hahitaji akili ya...
na Lucy NgowiWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuwa wizara yake haitakuwa tayari kupitisha mipango miji isiyokuwa na mtaa wenye anuani za makazi na...
Mkutano Wa Chadema Milton Keynes - Je Unaipenda Tanzania?
JE, UNAIPENDA TANZANIA? KAMA JIBU NI NDIYO, BASI NJOO UUNGANE NASI MILTON KEYNES
NETHERFIELD MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD MK6...
Mabadiliko ya kweli yananukia, na kweli yapo. Mabadiliko ambayo yataubadilisha mfumo wa uongozi wa sasa na kuweka mfumo mpya kabisa. Ndipo ninapoona dhahiri kabisa kuwa kuna nguvu mbili muhimu...
Pamoja na kelele zetu zote, hatimaye mahakama kuu imesema Dowans lazima walipwe;
James Magai
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Shirika la Umeme Tanzania...
Taarifa nilizozipata kutoka Idara ya Mawasiliano(Somewhere) inaeleza kuwa Serikali imejipanga kujisafisha na kashfa za mchafuko wa hali ya kisiasa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binaadam...
COMMENT
Death of a journalist shows how CCM, running scared, is unleashing terror on the people
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Saturday, September 8 2012 at 20:56
IN SUMMARY
The journalist...
MALAWI Wameshashirikisha wanasheria wao sana na bila shaka wanayo makundi ya wanasheria wanaoshughulikia suala hili la ziwa nyasa. simaanishi wanasheria wa nje, la, wanashirikisha maprof...
Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema Serikali kutoa huduma ya Elimu na Afya bure inawezekana ikiwa tu mianya ya rushwa na ufisadi itadhibitiwa ipasavyo na wananchi...
Hata mara moja kamati hii haijawahi kusimama kuhesabiwa wananchi wa Tanzania wanapoonewa, kudhalilishwa na hata kuuawa na vyombo vya ulinzi. Vitendo mbalimbali vya uvunjaji wa haki za msingi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.