Ndugu waislam wenzangu, hongereni kwa kuisafisha CHADEMA kuwa si chama cha vurugu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu waislam wenzangu, hongereni kwa kuisafisha CHADEMA kuwa si chama cha vurugu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Curriculum Specialist, Sep 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tafsiri ya viongozi wa serikali hii juu ya maandamano ya CHADEMA imekuwa ni chama cha vurugu na kinachovunja amani! Je Police hawa na viongozi wanasemaje juu ya maandamano ya Amani ya waislam, je wanaweza thubutu kusema uislam ni dini ya vurugu kwasababu imefanya maandamano tena yasiyokuwa na kibali? Je wanasemaje juu watu kutokupigwa, kujeruhiwa au kuuwawa? Je hii haithibitishi kwa wazi kabisa police waliotumwa ndo huwa wanasababisha uvunjifu wa amani na utulivu wanapoingilia maandamano ya amani wa wafuasi wa CHADEMA? Asanteni ndugu zangu waislam kwa kuwaaibisha wauaji!
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Polisi wakitumwa watakuwa na cha kueleza.
   
 3. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,097
  Likes Received: 11,239
  Trophy Points: 280
  polisi ni sawa na maroboti, yanaelekezwa cha kufanya.
   
 4. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Zomba, GeniusBrain mpo? Jana mliona jinsi ambavyo Polisi walidhibiti maandamano ya Waislamu yasiyokuwa hadi waislamu wawili wakapoteza.Au mimi ndio nakosea?
   
 5. W

  Wimana JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Mkuu, nilikuwa kijijini, ndio nimerudi leo. Wawza kubandika humu hiyo kau;li ya aislamu ili niweze kuchangia nikijuacho
   
 6. t

  tenende JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Maandamano + polisi = maafa;
  Maandamano - polisi = Amani
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mi nawashangaa waislam wanapoungana na ccm kuilalamikia cdm kuwa ni chama cha maandamano na fujo.Radio yao ya moro siku zote imekuwa mstari wa mbele kulalama kwamba cdm imekuwa ikiendesha maandamano kwa kukaidi amri halali ya polisi.Jana wao waliruhusiwa na nani? Wakati mwingine turuhusu na bata naye anye sio kila siku yeye kuharisha tu
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  I second that, and am not a Moslem (my honey Kongosho will come here to confirm that kuwa mimi ni Mlutheri) lakini najua kuwa muislamu wa kweli atakupigia makofi kwa kusema ukweli huu! Be blessed!
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Jf kuna udin hadi inatia kichefuchefu
   
 10. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  kuna siku kadhaa zilizopita , kuna thread iliyokuwa inazungumzia mabadiliko ya kisiasa na mstakabali wa ukuaji wa demokrasia nchini.Mimi kama mdau nilikataa kabisa kuwa usitawi wa demokrasia uko sambamba na mfumo wa utawala na misingi ya demokrasia halisi, sababu ya vyombo vya dola kutumika kubaka demokrasia.madc na marc wanatumika vibaya kubaka demokrasia,tume ya uchaguzi nayo ni chanzo cha udumafu wa ukuaji wa demokrasia.sheria na utekelezwaji wake, nao una matatizo, na mwisho uwajibikaji wa wabunge na hasa bunge nalo ni ubakaji wa ukuaji wa demokrasia.nakumbuka pale serikali ilipoikubali chadema iandamane kwenda kuzika marehemu kule arusha, je kulitokea vurugu?jibu hakuna na maandamano hayo hayakuwa na polisi.Kimisingi mtoa mada, siasa zetu ni za watawala na vyama tawala kung'ang'ania madarakani milele kama pinda alivyosema bungeni.haya tunayoyaona ya mikutano na maandamano ya chadema ni mkakakati wa kuongopesha umma waone chadema ni chama cha vurugu na kinasababisha watu kufa .na hapo ndo utakubalina na wasira kuwa wataifuta; na sababu yake ni kuanzisha vurugu kama hizo.la jana ni fundisho kwa ccm , watawala, na polisi kuwa busara itumike wawaruhusu cdm waendeshe shughuli zao bila hila, bila kuwapiga mabomu, na bila kuvuruga mikutano yao.vitisho, vurugu, kuua watu wasiona na hatia wenye haki ya kuiishi haiwezi kifuta cdm, bali kuiimarisha na jamii pana kuipa nguvu.
   
 11. MchukiaUonevu

  MchukiaUonevu JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Unafiki hata kujificha katika kivuli gani...kamwe hauwezi kufichika! Chadema hata waje na sura gani,bado kitabaki kuwa chama chenye maslahi binafsi na zaidi ya kidini(ukristo) na ukabila. Structure yake inajionyesha hivyo,wafuasi wake wanajionyesha hivyo,viongozi wake wamejionyesha hivyo,na hata wanaharakati wao wamejionyesha hivyo!!
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ukitafakari utajua kuwa adui wa wote ni CCM, huyo ndio wa kumpiga vita.
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mleta mada umekurupuka, waislam hawakufanya maandamano ili kukisafisha wala kukichafua chama chochote.
  Uislam unajitosheleza na unajitegemea wenyewe, hauihitaji support ya chama chochote hivyo hauna haja ya ktmsafisha au kumchafua mtu.
  Tunachodai waislam ni dhulma na unyanyasaji unaofanya dhidi yetu ukomeshwe.
  Tumedhulumiwa na kuonewa vya kutosha, muda umefika wa kuondosha dhulma na kusimamisha haki.
  Hayo ya kusafisha au kuchafua chama fulani hayahusiani na waislamu na madai yao.
   
 14. a

  adolay JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Ni wachache waliomiongon mwetu, walio maadui wa aman na umoja wetu.

  Na adui yeyote wa aman hana hekima, busara wala hofu ya mungu. Utamtambua adui wa aman kwa post zake za shari, chuki na uchochezi. Kamahajatukana au kukashifu waislam basi atafanya hivyo kwa wakristu, kunafaida gan? Unapata nin? Zaid ya kuzivua nguo akili zako na kuacha utup na ujinga wa akili zako kwa kila mmoja wetu kukushangaa?!
  Jana walichokifanya polis kinapaswa kuwa mwanzo mzuri. Tunahitaji aman na upendo kwa watanzania wote.

  Ccm na watawala wake wasituchonganishe tukachukiana kwa iman na makabila yetu.

  Tanzania ni yetu sote tupendane na tuish kwa aman.
   
 15. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni haki ya mtu kutoa mawazo hili halina mjadala kwani ndiyo njia pekee ya kupata maarifa kutokana na mawazo ya wengine. Kama unayosema ni kweli ni vema ukaja na vielelezo jinsi watu wa makabial mengine na dini nyingine wanavyokataliwa kujiunga na kupewa madaraka NDANI YA CHADEMA. Hii itasaiidia sana kuwafuta watu ujinga kuhusu mwenendo wa CHADEMA.
   
 16. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Polisi na ccm ni wavamizi wa mikutano ya cdm na wauaji wa raia wasiyo kuwa na hatia.CHADEMA wataingia ikulu pasipo kumuuwa hata mende mmoja.
   
 17. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ni wazo pia. Una jingine boss??
   
 18. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Well said,jana itv tendwa amekiri kuwa jeshi la polisi linatumika vibaya pamoja na kujitahidi kuelekeza lawama chadema hatimae alizidiwa na hoja na kunywea,
   
 19. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesema kweli tupu. Watu wanapokufa polisi wakiwemo inaashiria nini? Polisi wanatumwa na serikali ya CCM iliyo madarakani ama kuua au kuwalinda wananchi. Yule mwandishi kule Mufindi angekufa kwa fujo ipi iliyokuwa imeianzishwa CHADEMA wakati chama kilikuwa na shughuli ya ndani ya kutembelea matawi?
   
 20. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Polisi na ccm ni wavamizi wa mikutano ya cdm na wauaji wa raia wasiyo kuwa na hatia.CHADEMA wataingia ikulu pasipo kumuuwa hata mende mmoja.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...