Kama kawaid yao wauwaji wa Mwangosi watapelekwa mahakamani then mjadala unafungwa ndo nitoleee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kawaid yao wauwaji wa Mwangosi watapelekwa mahakamani then mjadala unafungwa ndo nitoleee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 9, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,369
  Likes Received: 8,443
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida ya CCM wale wanaodaiwa kuwa ni wauwaji wanatarajiwa kufikishwa mahakamani tarehe 10/09/2012 ili kuziba chokochoko na kunyooshewa vidole na jamii juu ya mauwaji hayo na kama ilivyo desturi itakuwa ni marufuku kuandikwa au kuzumzia jambo hilo tena
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Akina mwema,kova,nchimbi,kamhanda wanaisubiri kwa hamu sana j3 ili wapumue maana ndo itakuwa mwisho wa cd ya mauaji ya mwangosi baada ya hapo wataanza kutengeneza cd mpya nyingine maana bongo kila kukicha movie zinatengenezwa
   
Loading...