Uteuzi Viti Maalumu CHADEMA!

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
5,119
5,687
Wana JF wenzangu mnalinzungumziaje hili swala la uteuzi wa viti maalumu kwa akina mama wa CHADEMA, mchana huu nimepita pita kwenye vijiwe vya kahawa huku choma cha nkole nikawasikia maadui zetu (CCM) wameanza kuandaa zengwe kuwa asilimia kama 67% ya viti vimeenda mkoa wa Kilimanjaro kwa wake, watoto na nyumba ndogo za vigogo wa CMD!! lakini akina mama wa huku choma cha nkole wamepigwa chiniii ingawa na sisi kwa wingi kabisaa tulikipigia chama kula kwa wingi kabisaa ( pamoja na kula zetu kuchakachuliwa lakini bado zilikuwa si haba)

Naomba maoni wajameniii
 
weka hapo mchanganuo unaonesha wabunge wa CHADEMA, sio tu kuishia kusikia maneno yakina Kingunge na makamba, ninani aliekuroga ?
 
  • Thanks
Reactions: biz
Wana JF wenzangu mnalinzungumziaje hili swala la uteuzi wa viti maalumu kwa akina mama wa CHADEMA, mchana huu nimepita pita kwenye vijiwe vya kahawa huku choma cha nkole nikawasikia maadui zetu (CCM) wameanza kuandaa zengwe kuwa asilimia kama 67% ya viti vimeenda mkoa wa Kilimanjaro kwa wake, watoto na nyumba ndogo za vigogo wa CMD!! lakini akina mama wa huku choma cha nkole wamepigwa chiniii ingawa na sisi kwa wingi kabisaa tulikipigia chama kula kwa wingi kabisaa ( pamoja na kula zetu kuchakachuliwa lakini bado zilikuwa si haba)

Naomba maoni wajameniii
USILETE MAMBO YA USWAHILINI HAPA jf!
Mambo ya viti maalum sasa hivi ni historia and iam afraid there is nothing you can change.
Waache hao 'fools' waongee, na ukiwaona tena waeleze kuwa ni WAPUMBAVU hawana cha maana cha kufanya!
 
Tufahamishe wangapi waliomba nafasi hizo na majina yao, wangapi wamepata na data zingine muhimu. Hayo mengine YOTE, porojo tupu. :nono:
 
Nawapongeza CHADEMA kwa kufanya uteuzi wao kisayansi. Kitendo cha kuwapa wale kina mama waliojotosa majimbo ni cha kusifiwa kwani sehemu ya kura za wabunge zilizototoa idadi ya wabunge 23 imetokana na hao kina mama kugangamala hasa kule Kilombero, Hanang, Babati mjini. Hayo mengine yanayosemwa ni kawaida ya wasemaji
 
Jina
Mkoa anaowakilisha
% ya mkoa
Joyce Mukya
Arusha
4%
Philipa Mturano
Dar es Salaam
17%
Anna Komu
Dar es Salaam
Rachel Mashishanga
Dar es Salaam.
Naomi Kaihula
Dar es Salaam.
Chiku Abwao
Iringa
4%
Conchesta Rwalumulaza
Kagera.
4%
Anna Mallac
Katavi
4%
Mhonga Luhanywa
Kigoma
4%
Lucy Owenya
Kilimanjaro
13%
Grace Kiwelu
Kilimanjaro
Suzan Lyimo
Kilimanjaro
Rose Kamili
Manyara
9%
Paulina Gekul
Manyara
Esther Matiko
Mara
4%
Suzan Kiwanga
Morogoro
9%
Regia Mtema
Morogoro
Leticia Mageni Nyerere
Mwanza
4%
Christina Lissu
Singida
9%
Christowaja Mtinda
Singida
Raya Ibrahim Khamis
Zanzibar
13%
Mwanamrisho Abama
Zanzibar
Mariam Msabaha
Zanzibar

attachment.php

na huyu ni mbunge wa ccm Vick Kamata akiingia Mjengoni akiwa na viti maalumu mwenzake
 
Jina
Mkoa anaowakilisha
% ya mkoa
Joyce Mukya
Arusha
4%
Philipa Mturano
Dar es Salaam
17%
Anna Komu
Dar es Salaam
Rachel Mashishanga
Dar es Salaam.
Naomi Kaihula
Dar es Salaam.
Chiku Abwao
Iringa
4%
Conchesta Rwalumulaza
Kagera.
4%
Anna Mallac
Katavi
4%
Mhonga Luhanywa
Kigoma
4%
Lucy Owenya
Kilimanjaro
13%
Grace Kiwelu
Kilimanjaro
Suzan Lyimo
Kilimanjaro
Rose Kamili
Manyara
9%
Paulina Gekul
Manyara
Esther Matiko
Mara
4%
Suzan Kiwanga
Morogoro
9%
Regia Mtema
Morogoro
Leticia Mageni Nyerere
Mwanza
4%
Christina Lissu
Singida
9%
Christowaja Mtinda
Singida
Raya Ibrahim Khamis
Zanzibar
13%
Mwanamrisho Abama
Zanzibar
Mariam Msabaha
Zanzibar

Hapo mwanzilishi wa hii mada atakua ameamini kua hili ni jamvi la critical thinkers na sio anatuletea maneno ya vijiweni hapa
 
Wana JF wenzangu mnalinzungumziaje hili swala la uteuzi wa viti maalumu kwa akina mama wa CHADEMA, mchana huu nimepita pita kwenye vijiwe vya kahawa huku choma cha nkole nikawasikia maadui zetu (CCM) wameanza kuandaa zengwe kuwa asilimia kama 67% ya viti vimeenda mkoa wa Kilimanjaro kwa wake, watoto na nyumba ndogo za vigogo wa CMD!! lakini akina mama wa huku choma cha nkole wamepigwa chiniii ingawa na sisi kwa wingi kabisaa tulikipigia chama kula kwa wingi kabisaa ( pamoja na kula zetu kuchakachuliwa lakini bado zilikuwa si haba)

Naomba maoni wajameniii

Unatakiwa utambue kuwa majina yalipelekwa tume mapema kabla ya uchaguzi, naamini kama haya majina yangelikuwa yamepelekwa baada ya kutangazwa matokeo Shinyanga wangepata wabunge angalau wa3. Lakini hata hivyo sioni tatizo sana kwani kuna watu kama Rachel Mashishanga ameorodheshwa kama anatoka Dar lakini roots zake ziko Shy na ninaamini atawawakilisha hata hao wa Chuma cha Nkola unaowataja
 
Hapo mwanzilishi wa hii mada atakua ameamini kua hili ni jamvi la critical thinkers na sio anatuletea maneno ya vijiweni hapa

Haswaaaaa Naona hakuna porojo hapo, sema wangifikiria hata nafasi mbili kwa mikoa hambyo hatuna watu kabisa kuongeza ushawisha kama wenye vigezo wangepatikana
 
Hawa viti maalum CCM mbona wamevaa Cheni miguuni sio riski nini?

shangaa wewe , CHADEMA hatuangalii ukanda wala dini ya Mtu, wao ccm wanaangalia ukanda, ujana na uzee kuendesha chama, na kuteua watu, wanateua watu kwa urembo wao, na umaridadi wao kwa mtazamo, sie tunaangalia viwango vya elimu, ufahamu wa mtu, na mchango wa kila mwanamke katika kuijenga CHADEMA , Na sikuchagua mahawala, hebu angalia kuna kitu hapo, na sasa hiyo ni mjengoni leo.
 
Wana JF wenzangu mnalinzungumziaje hili swala la uteuzi wa viti maalumu kwa akina mama wa CHADEMA, mchana huu nimepita pita kwenye vijiwe vya kahawa huku choma cha nkole nikawasikia maadui zetu (CCM) wameanza kuandaa zengwe kuwa asilimia kama 67% ya viti vimeenda mkoa wa Kilimanjaro kwa wake, watoto na nyumba ndogo za vigogo wa CMD!! lakini akina mama wa huku choma cha nkole wamepigwa chiniii ingawa na sisi kwa wingi kabisaa tulikipigia chama kula kwa wingi kabisaa ( pamoja na kula zetu kuchakachuliwa lakini bado zilikuwa si haba)

Naomba maoni wajameniii
Hebu nipe, uwiano mzuri ni upii...???? Unadhani utaweza kumpata mtu ambaye hatoki mkoa wowote...lakini ni Mtanzania........???? NYIE NDO WALE WA ..............THE GLASS IS HALF EMPTY............ wakati wengine ni wale wa ...........THE GLASS IS HALF FULL..........
 
Asimilia 80 ya wabunge wa viti maalum CCM wanaishi Dar acha habari za asili yao. Hivyo uwakilishi wa hawa wa CCM sijui unahusu kitu gani?
 
Back
Top Bottom