Dr. Ndarichako jipange ur next..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Sep 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Baada ya waandamani ya waislam leo kufanikiwa kuwakomboa wenzao ambao walishikiliwa na polisi kwa kukataa kushiri katika zoezi la sensa wamesema wanaenda kujipanga na safari hii NECTA wanataka kushinikiza Dr. Ndarichako kuachia ngazi kwa kile kinachoonekana kuto watendea haki.
  Mytake:
  1.Je hayo maandamano yatapewa kibali?
  2. Serikali watakuwa tayari kumtosa Ndalichako ili kuwafurahisha waandamanaji?
  3. Tatizo ni Ndarichako au mfumo?
  Naomba tujadili wadau wakienda NECTA Pale watatosha?
  images.jpg IMG-20120907-00260.jpg
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Ya leo yalikuwa na kibali? Ukisikia Takbiiiir mkuu kaa kando. Na ukizingatia keo wamepata nguvu basi bila shaka Dr. Ndalichako itabidi ijifungashie virago tu. Jamaa wataingia pale na kuoiga swala tano hadi kieleweke. Leo wamepewa shavu la nguvu.
   
 3. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Wamewakosa tu. Wangetafuta angalau wa3 wawaonyeshe jinsi inavyoendeshwa. Wanatumia udhaifu wa JK. Njomba angewafanya mbaya leo. Dini haina haki ya kuamua mstakhabali wa nchi ya watu mil. 40
   
 4. m

  mzalendoasilia Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu maneno ya kamanda Mnyika kuhusu dhaifu inadhibitika kidogo kidogo.lets wait n see
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu ur my eye opener kumbe ndo hivyo?basi twafa
   
 7. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kwani maandamano ya leo yalikuwa na kibali?
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,650
  Likes Received: 3,299
  Trophy Points: 280
  Yaani leo upepo umeiendea vibaya mno CCM,tendwa naye kafanywa mbaya mbele ya camera za ITV
   
 9. m

  masluphill Senior Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  UTAWALA wa DHAIFU huu yote yawezekana hasa ukizingatia,uamsho ALIUPANDIKIZA YE MWENYEWE NA KASHINDWA KUULIPA FADHILA SASA NDO MAZAO YAKE HAYO.
   
 10. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  As long as JK yupo madarakani, hawa wavaa suruali fupi, they are like free molecule.... Lakini ili la nderichako hawa jamaa hawako sahihi, kwani wao wame-invest kwenye elimu ahera... Matokeo yake elimu dunia inawafanya kitu mbaya...
   
 11. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dhaifu plus plus.........kavuta waya akiwa kampala achia hao!
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  wakimaliza hapo wataandamana kudai chadema iwe kafu, na watafanikiwa... kisha wataandamana tena kusema bara iitwe zanzibar na zanzibar iitew visiwani, watafanikiwa

  wakimaliza watasema baraza lote wapange wao, watafanikiwa pia

  zaifffffffffffffffffffffffffffffff
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  that is no longer my country until when!
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  JK anaweka mazingira mabaya sana ya mtawala ajaye

  na nadhani anafanya makusudi
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu naomba nisaidie kuelewa hivi issue ya Ndalichako na waislamu si lilizungumzwa likaisha?au
   
 16. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo necta hata akiwekwa Malaika watu wataendelea kufeli tu. Wenyewe mmekubali kuwa Uislam/Akhera kwanza then ndo mambo mengine baadaye. Necta ingekuwa inashughulika na mambo ya akhera tu , mngefaulu vizuri sana...poleni.
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Swali la msingi kwenye hilo jibu lako...Je wao wapo juu ya sheria?kuandamana bila kibali?mbona wazee wa EAC huwa wanapigwa virungu na kupigwa na maji washwa....au ndo double standards
   
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  yule katibu mkuu naye ni wale wale ndo maana kawasikiliza upuuzi wao. Hawa jamaa wana double std sana, nahisi baada ya kuondoka hawa vilaza wenzake wakamwambia umefanya kosa kubwa sana ndo maana akabadili maandishi kwamba wameachiwa kwa dhamana. Pumbavu mmeweka udini kila mahali sasa mambo yanawashinda
   
 19. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  From what I know post ya Ndalichako ni ya kitaalum, kama hakuingia kwa maandamano mtamtoaje kwa maandanamo...
   
 20. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Waislam leo wameweza kuandamana bila ya kuitisha Press conference wala kutangaza kwenye media yoyote kama vile walivyofanikiwa kususia sensa pamoja na hila nyingi za serikali pamoja na shoga zao wa muda, hakuna hata Aliesukumwa,hakuna uporaji,hakuna uvunjifu wa amani,wanngetangaza maandamano basi wale mawakala wa serikali wangewahi kuchoma moto makanisa,kuchoma moto magari ili ionekane wamechangia uvunjifu wa amani,
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...