UVCCM Dodoma kwawaka moto

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Katika usahili wa wagombea mbalimbali ndani ya Umoja huo jana Hali ilikuwa ngumu sana katika hatua ya kuwapa alama wagombea wa umakamu mwenyekiti wa Umoja huo Baada ya makundi kujionyesha wazi wazi kwa baadhi ya wagombea Hali inayotafsiriwa kuwa Ni kujipanga kwa wagombea uraisi 2015....

Katika patashika hiyo ndugu MAVUNDE Antony alionekana kubebwa na Makamu mwenyekiti wa sasa Benno malisa na hii inaonyesha kuwa ndio mtu awa lowasa Kwani Benno kwa sasa kahamia kambi ya lowasa Baada ya kufukuzwa na rizone Kwenye nyumba,pili mgombea mwingine aliyepasua vichwa vya wajumbe we usahili Ni ndugu SANGO Kasera Huyu alipata utetezi kwa wajumbe Wengi katika kikao hicho Kwani inasemekana kuwa kijana Huyu hajaonyesha yupo kundi gani ingawa inasemekana nyuma Yake wapo watu Kama Nchimbi waziri, Makala, Bashe,John nchimbi.

Na kutokana na analysis Huyu kijana vile vile ndio chaguo la pili kwa Lowassa hii inatokana na ukaribu wa Kasera na Bashe hata hivyo ili kundi la Rizone liweze kumkomoa Benno malisa na ili Benno malisa asiweze kuteuliwa nafasi ya katibu mkuu aw jumuiya hiyo taifa pindi Mavunde akishinda, Ni wazi kundi la rizone litammunga mkono SANGO kasera hata hivyo kwa sasa mtoto Huyu aw Rais hajaonyesha wazi wazi yuko kwa nani hasa ingawa kuna baadhi ya majina yanayosemekana kuwa wapo Kwenye hili kund Kama vile bi mboni mhita,salum hapi, ingawa watu we karibu na rizone wanasema mpaka sasa kiukweli Hana mtu na anasubiri mpaka Hapo majina yatakaporudi..

Yote Tisa ila kumi ambapo kunatabiriwa hata ngumi kutembea Ni katika kikao cha baraza la Umoja huo Kwani ndio lenye jukumu la kupitisha majina hayo na hii Ni kutokana na makundi yote yatakwepo ndani ya nyumba Hapo keshokutwa... Benno na kundi lake, Bashe na kundi lake,Rizone na kundi lake...

Kwa sisi yetu macho na tunawatakia Kila la heri cha muhimu kwa Tanzania Ni Amani na utulivu...
 
piganeni mkichoka mjivue magamba...la mutuz yuko kundi gani
 
Hahahaha le mutuz ingia Tanuru angalia ndugu Yako anavyotukanwa na watoto wa Kwenye TAnuru,,,,,tumsameheni japo arudi Huku kuna picha wameweka ya mama kilango analia then inambiwa kisa cha kulia Ni mzigo mzito wa malezi kwa mababu wawili.
 
Hahahaha le mutuz ingia Tanuru angalia ndugu Yako anavyotukanwa na watoto wa Kwenye TAnuru,,,,,tumsameheni japo arudi Huku kuna picha wameweka ya mama kilango analia then inambiwa kisa cha kulia Ni mzigo mzito wa malezi kwa mababu wawili.
 
Kweli mwisho wa magamba ni sasa yaani mmefikia mahali mnachaguana kwa kuangalia makundi ndani ya chama na sio uwezo, elimu, uadilifu uzalendo na weledi wa mgombea?? Kuchagua ccm tena 2015 sio janga tu utakuwa msiba mkuu wa taifa na that time tusimlaumu yoyote tujilaumu sisi wenyewe!!
 
Wagombane na kugawanyika ili watanzania tupate wepesi wa kuwang'oa madarakani
 
Nakumbuka uchaguzi uliopita ndio ulimwibua Nape. Huu sijui ni nani atatoka tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom