Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bajabiri, Sep 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Waislam mchana huu wanakusanyika maeneo ya kariakoo kwa ajili ya kwenda Wizara ya mambo ya ndani kwa njia ya maandamano.

  Lengo kuu la maandamano hayo ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali kuwaachia huru na kuwafutia kesi watu ambao wamekamatwa kutokana na kususia zoezi la SENSA, TAYARI waislam waliosali msikiti wa Mtambani (kitovu cha harakati) wanaelekea huko.


  ================================UPDATE=================================

  [​IMG]
  Waandamanaji wakiwa karibu na geti la Wizara ya Mambo ya ndani


  [​IMG]
  Wanaswali!
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  ngoja tushuhudie KOVA misifa atakachofanya
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hata yule aliyechana dodoso? Halafu Wizara ya Mambo ya ndani ndio inayofunga watu?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hawa watu hawakuelimishwa vya kutosha so inabidi waachiwe tuu!
   
 5. S

  Sayfulhaq Senior Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Let them do, coz they are doing the same fighting 4 their rights.
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Wadau Dar es Salaam Ciy Centre....naona maandamano makubwa ya watu inaohisiwa ni Waislamu hapa mitaa ya Posta Mpya wakielekea Mambo Ya Ndani....mwenye taarifa atujuze kulikoni?~

  ================================UPDATE=================================

  [​IMG]
  Waandamanaji wakiwa karibu na geti la Wizara ya Mambo ya ndani


  [​IMG]
  Wanaswali!
   

  Attached Files:

 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Any news, manake naona wameibuka from nowhere ingawaje idadi yao ni kubwa!!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hawa wanataka tujutie kumpoteza WAZIRI ambaye hatutompata tena (NCHIMBI)
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Ebu msogelee mmojawapo umwulize kulikoni mkuu,hawana mabango?
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hata polisi wanaleta fujo,,,,nchi hii kila mtu ana fujo zake
   
 11. G

  Gurti JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani wanatumiwa kubalisha mjadala wa kitaifa ambao umewazidi uzito serikali. Hakuna kingine. Wanatudanya kwa kutumiwa na serikali ya ccm
   
 12. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What.TZ ni usanii plus.Daily.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  atakua na tahadhar yasimkute ya KAMHANDA WA IRINGA
   
 14. Root

  Root JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,261
  Likes Received: 12,979
  Trophy Points: 280
  ngoja magari yatoke ukonga watajuta kuandamana
  washawasha zinakuja
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Maandamano ni haki ya kikatiba kama ni ya amani
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Naona kuna kundi lingine linapita hapa posta mpya....wacha nikatafute umbeya ingawaje nogopa mabomu!!
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,665
  Likes Received: 82,492
  Trophy Points: 280
  Huwaoni polisi magamba na silaha zao za moto wakiwezengeazengea tayari kufanya mauaji mengine?
   
 18. O

  OBWERE Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mbona wao hawana kibali na hawaja pigwa mabomu?////
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  yasije yakampata ya mwangosi picha ni muhimu lakini kuwa makini
   
 20. m

  markj JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ni kuhusu ishu ya sensa! na kukamatwa kwa watu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...