Umoja wa wazazi wa CCM wanategemea kukaa kikao kuijadili CHADEMA juu ya UVCCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umoja wa wazazi wa CCM wanategemea kukaa kikao kuijadili CHADEMA juu ya UVCCM.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Sep 9, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Umoja wa wazizi wa CCM wanailaumu CHADEMA kwa kuungilia chaguzi za umoja wa vijana wa CCM.

  Wanasema chaguzi za UVCCM zinagubikwa na fujo sababu zinaingiliwa na nguvu kutoka nje. Katibu wa umoja wa wazazi wa CCM kasema CHADEMA wanachofanya ni kumnunua yule aliyeshindwa ili agomee uchaguzi na kufanya fujo.

  Anasema hiyo mbinu wameigundua na wataifanyia kazi haraka sana.
   
 2. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo kila baya linaelekezwa chadema bt wananchi washaelewa mbinu za kijinga
   
 3. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kila kitu kibaya CHADEMA. Maisha magumu chadema, mfumuko wa bei chadema, ukame chadema, ufisadi chadema, foleni Dar chadema, thamani ya shilingi kushuka chadema, umaskini chadema, uchu wa madaraka ndani ya ccm chadema, bei ya mafuta kupanda chadema, EL na RA kujiuzulu chadema, wizi wa hela za epa chadema. Aaah wimbo mzuri ulioje. Ongezeni mengine wadau
   
 4. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Hawana hija hao, wanatapatapa
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kumbe kweli mfa jamani maji haachi kutapatapa.
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Eti "Umoja wa Wazazi". Wazazi wa nani? How shameful to have such kind of parents? Mafisadi tu hao!
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  cheza na "badger" weye CCM?
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hiyo ndo siasa ya bongo, full ubabaishaji.
  Wanatoa Majibu mepesi kwa maswali magumu, wanasahau kikulacho ki nguoni mwako.
   
 9. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu lazima itakula kwao tu hawana jipya
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  alfa lelaulala
   
 11. aye

  aye JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  walizoea kulala muda wote sasa watanzania wameamka hadanganywi mtu
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kuweweseka kubaya sana, watu wanaanza kukimbia vivuli vyao wenyewe!...
   
 13. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Next time JK akiulizwa sababu ya umaskini Tanzania, atajibu CHADEMA
   
 14. P

  Penguine JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  mihela ya wavuja jasho kufichwa uswisi- chadema
   
Loading...