2015 Piga ua Tanzania kwa mara ya kwanza inakuwa na 'Serikali ya umoja wa kitaifa' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015 Piga ua Tanzania kwa mara ya kwanza inakuwa na 'Serikali ya umoja wa kitaifa'

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bampami, Sep 9, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Kwa hali ninavyoiona na kwa jinsi tunavoenda, dalili zinaonyesha wazi kuwa 2015 tutakuwa na serikali ya umoja wa taifa.
  Kwanini?
  1. Naamini kukiwa na serikali ya umoja wa taifa ni rahisi kusonga mbele ktk swala la maendeleo, kwa sababu hakutakuwa na:
  1.Ulimbikizaji wa mali
  2.Uwajibikaji kwa kila kiongozi utakuwa mkubwa sana.
  3.No corruptions etc

  Pia kwa jinsi ninavyoona upepo:
  -chadema yenyewe haileweki mara ivume mara ipotee..
  -cuf nao wanaiga campain za chadema.
  -Ccm nao ndo hivo mpaka leo hawaelewi wafanye nini manake wamezidiwa kila kona.

  Sasa kwa halii 2015:
  ~Ccm watategemea kura toka vijijini kabisa.
  ~chadema watapata kura sana toka kwa vijana.
  ~Cuf watapata kura sana toka mikoa ya pwani n.k

  "ILI TANZANIA TUENDELEE TUNAHITAJI SERIKALI YA UMOJA WA TAIFA"
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ili tuendelee tunahitaji vitu vitatu:watu walioelimika, siasa safi, na uongozi bora.
  Maadui wa nchi yetu ni:umaskini,ujinga, na maradhi.
  Nchi inajengwa na kuvinjwa na: Wananchi.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hakuna kitu kama hicho kamwe serikali ya kitaifa hatutaki
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Bado hatujafika huko mambo mengi vyama vyote havijakamilika thats Y kuwe na muunganiko, hapo mambo yataenda.
   
 5. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya mseto ni ndoto za mchana. Chadema kina mtu mmoja tu aliye msema mzee six. Wengine ni vihiyo cv za wanaona aibu kuziweka wazi. Mnyika form six anajidai ana masters, mbowe form four anajidai kamanda wakati hata mgambo hakucheza. Yule mbunge wa mpanda ni darasa la saba, sasa huu mseto labda uwe wa ccm na cuf. Na mwisho ni zanzibar tu.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Hizi ni ndoto za magamba baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya kuelekea 2015. Hakutakuwepo Serikali ya umoja wa Kitaifa. Uchaguzi ukiwa chini ya katiba mpya na Serikali, magamba na vyombo vya dola wakibanwa na Watanzania katika kila jimbo ili wasichakachue matokeo ya uchaguzi huo basi magamba hawataambulia kitu. Ndio tutakuwa tunaizika rasmi magamba katika anga siasa za Tanzania.
   
 7. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  na JMK, EL, Komba wana?
   
 8. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  na JMK, EL, Komba wanaelimu gani?
   
Loading...