Maandamano haya ni ushahidi tosha kuwa 'intelijensia' ya polisi ni ya kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano haya ni ushahidi tosha kuwa 'intelijensia' ya polisi ni ya kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Sep 7, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,743
  Trophy Points: 280
  Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?

  Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?

  Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa vyama vya siasa?

  Je huu si ushahidi kuwa bila polisi kiungilia maandamano hakuna fujo wala mauaji?

  Huu si ushahidi kuwa polisi wanatumika kisiasa?

  Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?

  This is typical double standard.
   
 2. G

  Gongerfasil Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 25
  polisi ni wajinga wamekwenda mafunzo kwa ajili ya kazi zao lakini wantumikishwa na watu aina ya kina nape lakini sasa unajiuliza akiwa peke yake anawaza sana juu ya unyama wano fanya lakini iko siku hao wajinga wote tutawabuluza maakamani hata kwa kutumia mahakimu wa nchi za nje
   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mtasema sana
   
 4. f

  fungamesa Senior Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunapo hoji tujaribu kuwa na sababu za msingi. Mimi naona tungeanza na kujiuliza je ni hili tu la sensa au kuna lingine
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ni ukweli usiopingika
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mbona double standard kwenye intelijensia yetu iko wazi sana.. wanatia aibu maana kazi yao ni ya kitaaluma, unapoona mwanataaluma anaweka taaluma pembeni na kuabudu watawala ujue anajiaibisha ndani na nje ya nchi yake! Wemaa, UWT nk amkeni bado mnaweza kurejesha heshima zenu.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Hata kama kuna lingine je ni halali kipindi hiki cha sensa?

   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ongeazea Je haya maandamano wakati shughuli za Sensa inaendelea ni halali? Leo nimesikia tena Mbunge wa CUF huko Kilwa ameleta noma polisi akishinikiza waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe.
   
 9. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,743
  Trophy Points: 280
  Ukweli unauma.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,791
  Likes Received: 5,051
  Trophy Points: 280
  ..most probably they had the information about Muslims demonstration.

  ..ukweli ni kwamba Polisi kwa sasa hivi wamenywea kutokana na habari za mauaji ya Mwangosi.

  ..muda kidogo ukipita, na wa-Tanzania na haswa waandishi wa habari wakisahau, basi Polisi watarudia tena matendo yao machafu na ya kikatili.
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  jk ni dini gani vile?hapigwi mtu bomu hapo!!!!
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ndo nasema hivii, mtasema sana.
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  angekuwa mkapa angewaua kabisa hao kama muembe chai na zanzibar kule
   
 14. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuna haja ya kujiuliza, Imepigwa maarufuku mikutano na maandamano yote isipokuwa kama mnasali, mpaka sensa iishe! Ni matumaini yetu wengi kuwa polisi watalisimamia hili kwa dhati ili waeleweke!
   
 15. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,186
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  ILA MMESHAHESABIWA!! Kweli mmeonyesha jinsi gani Mlivyo Kichwani
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Hadi sasa wameshindwa kueleweka na imeshadhihirika wazi kuwa polisi wanatumika kuikandamiza cdm!

   
 17. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Polisi wamekuwa waoga... Tangu yale ya David Mwangosi, wananuniwa kila mahali..:lol:
   
 18. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Hii nchi imeharibiwa na wahuni. We always know the magnitude of rebuilding work after 2015
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  CDM wanatakiwa wasitoe tamko kuhusu maandamano haya, kwani tamko lolote litatafsiriwa kivingine na waislam wachache walioishia chuo tu.
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Na IGP Mwema na Kova ni dini gani vile? Chora mstari!!! Ila tu polisi wetu kama hawajatumwa kutawanya mikusanyiko ya CDM au kibosile ambaye amekwapua nyumba ya mjane kama papa msofe na tajiri ambaye shamba lake limevamiwa, hua wanakuwa wapole sana!!! Si unaona tukio la ujambazi jana walivyokuwa wapole?? Hivi hakuna hata tetesi ya mtuhumiwa kukamatwa?
   
Loading...