Msafara wa Rais wasababisha ajali - Visiga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Rais wasababisha ajali - Visiga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Fixer, Sep 6, 2012.

 1. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  IT IS HAPPENING NOW;
  Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.

  My Take;
  Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?

  Source; Radio Imaan

  =====================================UPDATE==============================================
   
 2. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Watu 32 wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi la Abood iliyotokea eneo la Visiga mkoani Pwani. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
  Source;RADIO1 STEREO.
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  jamani mbona hii kampuni tumeshazoea ajali zake
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Mbona hapa jukwaani kuna mdau kadai msafara wa JK ndio chanzo, maana dereva wa Abood alikua anajaribu kupunguza mwendo na kuukwepa ndio basi likamshinda
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo kuna basi mpya zinatoka
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru Mungu kama hakuna uhai uliopotea.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!
   
 8. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  weekend ya raisi ishaanza asubuhi......yetu jioniii....
   
 9. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Thanx b 2 God asprin.
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Damu imepatikana ya kutosha kutoka kwa majeruhi
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  dah pole mkuu Asprin...Mungu kweli ni mwema kwa hilo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona weekend ya mheshimiwa imeanza mapema...ila simlaumu maana hamna kazi ya kufanya ikulu bora akajipumzikie
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  harafu huwa wanajifanya kuweka namba za simu kwenye mabasi yao zile simu huwa hazipokelewi hata siku moja, na ukituma message huwa hazijibiwi. Ukimwambia dereva abiria wengine wanasema huyu ndo mara ya kwanza kusafiri dereva tuwahishe.
   
 14. H

  HIPPO Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Nafikiri anawahi swalatijumaa nyumbani kwake
   
 15. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pole sana Babu Asprin! Mpe pole na Shosti!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sasa anaenda huko kikazi au weekend? kama sio kikazi anatega kazi basi
   
 17. MANI

  MANI Platinum Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Poleni kwa mshitko mkuu !
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Na hii ni AJALI ya pili ya Mabasi ya ABOOD inayosababishwa na Msafara wa rahisi.
   
 19. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kafara? Leo si ijumaa freemason day.
   
 20. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Guys, Hii ajali imetokea jana usiku sio leo asubuhi !
   
Loading...