Makundi ndani ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makundi ndani ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by armanisankara, Sep 8, 2012.

 1. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  chadema kina makundi makubwa matatu huku la kwanza likiundwa na idadi ya viongozi wanaotoka mkoani kilimanjaro na kuongozwa na mbowe, la pili lina watu kutoka manyara na arusha kiongozi wake ni dr. slaa, halafu la tatu linamuunga mkono zitto.
  tofauti ya mawili ya kwanza, kundi hili la mwisho lina watu wanaotoka nje ya mikoa hiyo ya kilimanjaro, arusha na manyara, lakini jitihada zake huenda zisifanikiwe kwa kiwango kikubwa kutokana na sababu za maslahi zaidi.
  zitto binafsi anafahamu kuwa yeye, mbowe na slaa kila mmoja anapambana kikamilifu ili kuhangaikia uteuzi wa kugombea uraisi katika uchaguzi mkuu ujao, lakini anaelewa ni jinsi gani inabidi apambane na ubanguzi mkubwa wa ukabila na ukanda.
  anajua kuwa viongozi wenzake wanaotoka kilimanjaro wanafanya kila wanavyoweza ili mbowe ndiye aje kugombea urais mwaka 2015, kazi inayofanywa kwa kutumia ushawishi wa kisiasa na kifedha. anafahamu kuwa kamati kuu ya chadema imerudikwa na watu wanaotoka kilimanjaro ili wawe na nguvu, wale ambao kuna wengine ni wafanyabiashara wakubwa wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hichi katika mkoa huo, philemon ndesasamburo. viongozi wengine wanaotoka kilimanjaro ni pamoja mbowe, mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika, mbunge wa kawe halima mdee, mbunge wa ilemela hayness kiwia, mkurungenzi wa fedha na utawala anthony komu na mkurugenzi wa bunge na halmashauri john mrema
  Kundi hilo pia linasaidiwa na wabunge kama akina peter msingwa [iringa mjini] ezekieli wenje [nyamagana] joseph mbilinyi [mbeya mjini] joshua nasari [ arumeru mashariki] vincent nyerere [ musoma mijini] saidi arfi [mpanda mjini] mbunge wa zamani wa arusha mijini godbless lema.
  Tofauti na hilo, kundi la dr. slaa linaudwa na kikundi cha wabunge wachache wa majimbo na baadhi wa viti maalum hususani wanaotokea mikoa miwili ya arusha na manyara, lakini kutokanana mzozo wa ndoa yao mkewe ambaye ni mbunge wa viti maalum, rose kamili hajihusishi nalo. aidha kundi hili pia halina nguvu za kifedha na hata ushawishi wowote mahali popote kwasababu ukimwondoa dr. slaa hakuna mtu mwingine yeyote mwenye nguvu kwa namna moja ama nyingine kisiasa.
  Kundi la zitto ndilo halina idadi kubwa ya wabunge isipokuwa wachache tu ambao ukimwondoa yeye mwenyewe baadhi ya waliomo ni mkurungezi wa uchaguzi, msafiri mtemelwa pamoja na wabunge wa viti maalum wanatoka naye mkoa wa kigoma, muhonga saidi na philipa mturano. pamoja na juhudi anazofanya za kutaka augwe mkono na vijana mikoa yote nchini, tatizo kubwa linalokuja ni ukweli kwamba hata iweje hatateuliwa kuwa mgombea urais wa chadema katika uchanguzi huo mkuu wa mwaka 2015. hawawezi kuipata nafasi hiyo ya kwasababu hana wafuasi wengi ndani ya kamati kuu ambacho ndicho kikao kizito kuliko vyote na pia hatakiwi kwa namna zote na mwasisi wa chadema, mzee mtei. ni yeye aliyemzuia zitto kugombea nafasi ya mwenyekiti wa taifa mwaka 2009 akisema hawezi kuruhusu chama chake kichukuliwe na mtu asiyemfahamu "wapi anakotoka"
  katika hali hiyo, nafasi ya kugombea uraisi mwaka 2015 ipo wazi zaidi kwa mbowe na siyo dr. slaa, zitto wala mwingine yeyote yeyote kutokana na uwepo wa makundi hayo matatu ingawa huenda yakaongezeka hapo baadaye. katika uchaguzi wa 2010 dr. slaa alishinikizwa kugombea uraisi kwa sababu tu kundi hilo lilijua kamwe hawezi kupata ushindi, na pili lilitazama mazingira ya matatizo yaliyokuwepo ndani ya ccm na kugundua kuwa angesaidia kupata wabunge, jambo ambalo lingemwekea mazingira mazuri mbowe ya kugombea urais mwaka 2015

  SOURCE: gazeti la sauti huru
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Udaku huu unalisaidia nini Taifa letu ? Hili gazeti lina wasi wasi gani ?
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Insightful!
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,912
  Trophy Points: 280
  Extremely poor analysis,halafu imetoka kwenye gazeti hii kitu?nani anasoma hilo gazeti?
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe unatamani kupigwa ban hapa. shauri lako.
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wajinga waliopo sisiemu ndio utawapata kiurahisi hivyo,this is a great thikers site,chip mind,
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hamna ki2 humu,ni kutudivert kututoa ktk mada ya msingi ya mauji ya ccm polisi.
   
 8. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Nayo yanaweza kuwa maoni mazuri kwa wenye kutafiti ama kutaka kujua... sioni kama ni jambo la kulipuuza!

  kusikiliza ni jambo moja, lakini kutafakari na kutathmini ni jambo jingine!

  Aidha kupuuza na kutupilia mbali mawazo mengine yasioendana na tutakavyo pia kuna usahihi wake.. Unaepuka presha na jinamizi!!
   
 9. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  akili kama ya wasira hii very poor ana very sory for you. MAGAMBA NJOONI FURAHIENI THREAD HII
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu si haya ndiyo magazeti ya SSM na kina Rz1 na waislam eti wanataka kuharibu CDM? Wanapoteza muda, linaingia sikio moja linatokea lingine!!! Nguvu ya wananchi sasa, saa ya ukombozi ni sasa!!
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Bora umewaalika kabisa rafiki zetu Rejao, Ritz, zomba, etc. We miss you guys!!
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu jmushi1 hili gazeti limeanza lini tena? Mpaka ifike 2015 wataandikisha mengi sana na haitasaidia. Watu hawasikilizi ya magazeti kwa sasa, watu wanasikia yanayotoka ndani ya vinywa vya wahusika na utendaji!!! Poleni Magamba!!
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtu asiye na adabu utamjua tu.Msalimie Tuntemeke.
   
 14. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kama ni kweli ni gazeti basi wasomaji wake wanapotoshwa kwa makusudi
  1.Chadema sio genge la wasaka Urais
  2.Hakuna makundi ndani ya CHADEMA
  3.Kamati kuu sio chombo cha juu cha maamuzi,soma katiba ya chama.Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Urais hupitishwa na Mkutano mkuu
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,094
  Likes Received: 10,451
  Trophy Points: 280
  Kajifunze kwanza kuandika....nimeshindwa kusoma. Sielewi wapi ni kituo, wapi ni koma, umeandika kana kwamba umetoka kuharisha.
   
 16. f

  freduu Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Wametumwa hao
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ngiba yamba nasa.
   
 18. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  -Poor written,
  -Insightful,
  -Illogical
  -Poor analysis
  Sincerely, hii mtu alikaa kijiweni au chumbani kuandika
  this ****! Typical gossip, this should be in JF Chit-Chat
  Gossip.

  I guess ni kutaka "kujaribu" kuwagawa hao CHADEMA, ila ni ngumu...not through this way.
   
 19. saronga

  saronga JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama cdm kuna makundi matatu, magamba mbona kina makundi yasiyohesabika??kuna la mzee wa richmond, kuna la mzee wa speed, kuna la nchimbi, kuna la maembe, kuna la ............ni mengi kiasi kwamba hapa hayaenei. So there is no big deal for chadema to have only three groups.
   
 20. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MUANDISHI WA HII MAKALA ANA HULKA YA http://www.tigo.co.tz/
   
Loading...