Serikali yamhamisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,aliyechakachua uchaguzi wa Meya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yamhamisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,aliyechakachua uchaguzi wa Meya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, Sep 8, 2012.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Hatimaye Serikali imempeleka Mpanda Estomih Chang'a aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,huyu ndiye aliyetumiwa na ccm kuchakachua uchaguzi wa Meya Arusha.
  Hakika Serikali imekubali hoja na dai la CHADEMA la muda mrefu la kumwondoa Arusha,ni ushindi kwa watu wa Arusha,na wapenda haki wote
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  pamoja kamanda.....mpaka kieleweke.....
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Very shallow argument, kwani kuondolewa kwake ndio kumebatilisha uhalali wa uchaguzi wa umeya? Jibu ni no, sasa huo ushindi unao usemea ww ni upi ?. Uchaguzi wa meya bado ni halali na cdm mliambiwa km mnaupinga nendeni mahakamani, mpaka Leo hamjaenda popote mna jifariji tu mitandaoni.
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Kamanda kwanini unaamini kilio cha kumwondoa Mkurugenzi kimesikilizwa? unajua wanakuja na mbinu gani kipindi hiki Lema yuko nje ya ulingo na kuna juhudi za kumrudisha?
   
 5. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hawa wabovu wanawahamishia sehemu nyingine kuendeleza ubovu wao!. Inaniuma, tena sana na zaidi nikiwazia fedha (KODI) zinazotumika katika kuhamisha UBOVU huu!.
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Upepo umechafuka
   
 7. mozes

  mozes Senior Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mr Nanyaro nafkr sio suala la kufurah kwan sjaona kilichotatuliwa Arusha! Watu wameuliwa meya bdo yupo na tunalalamka uchaguz haukua wa haki! Lema kavuliwa ubunge, je nin hatma ya wana arusha? 2na nin la kujivuna hapo pamoja na kwamba sisi ndo chimbuko la mabadiliko Tz? Dawa sio kumwamisha coz hata huko kunahtajika hak na je huyu ajaye? Dawa meya aondolewe
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280

  Heshima sana Nanyaro Ephata

  Naomba kutofautiana na wewe kuhusiana na kuhamishwa mkurugenzi wa Jiji la Arusha Bwana Estomih.Nijuavyo mimi uhamisho ni jambo la kawaida sana katika uendeshaji wa shughuli za serekali.Ikumbukwe Bwana E Chang'a alikuwa anakaimu nafasi hiyo baada ya kuhamishwa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha alikokuwa akifanyakazi kama Afisa tawala.

  Uhamisho wa Bwana E Chang'a umeambatana na kutambuliwa na kuthibitishwa rasmi kama mkurugenzi wa halmashauri ya Mpanda.

  Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha haukuchakachuliwa na Mkurugenzi hata kidogo ndiyo maana CDM hawakwenda mahakamani kwakuwa walijua wangeenda huko wangeangukia pua.Bwana Nanyaro unajua idadi ya madiwani wa CCM ni kubwa kuliko idadi ya madiwani wa CDM hapa Arusha sasa CDM ingeshinda vipi umeya ?.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,013
  Likes Received: 2,227
  Trophy Points: 280
  Kubishana na mh nanyaro kunaonyesha ulivyo mbali na siasa za arusha. Au wewe ni mmoja wa wale wale. Kuondoka kwa estomihi ni hatua moja ya ushindi kwa wapenda haki na amani arusha.
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Du ina maana amekuja kwetu Katavi jamani, kwa nini asiende kwenye majimbo na mikoa iliyo chini ya CCM kama Tanga, Mtwara na hata Ruvuma huko. Please asituharibie jimbo letu la Mpanda kati kwa mbunge wetu Mzee Summury ambae anajua anachokifanya, Wanampanda hatupo tayari kumwaga damu kama atakuja na style zake za Arusha na hivi yupo mkoa wa waziri mkuu jamani watu wa Kashauriri,Kawajensi, Msakila, Mwangaza na maeneo yote ya jimbo la Mpanda kati sasa tuwe macho na huyu jamaa. Hatutakubali ya Arusha yatokee kwetu zaidi yeye ndo atapigwa na atashangaa
   
 11. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpanda jiandaeni damu zenu maana mchinjaji ndiye hyo anakuja. Labda mkubali kuimba 'Aeee TANU yajenga nchi"
   
 12. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,013
  Likes Received: 2,227
  Trophy Points: 280
  Ameletwa kujifunza siasa as vyama vingi usiwe na mashaka hatakaa athubutu tena kufanya madudu aliyo fanya arusha.
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ngongo
  Wewe sikushangai hata kidogo,sie tuliopo Arusha tunajua shinikizo lililopo,huyu Changa amekaimu muda mrefu,jiulize kwa nini?
  Na kama akibakishwa amekalia kuti kavu,sio jambo la kufurahia lakini pia ni hatua kubwa katika harakati za kupigania haki
   
 14. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  usifurahi kuondoka kwake kwani unajua ajae atakuwa vipi? Mkuu wa Mkoa aliyeletwa ndo kama ulivyo muona kwa hiyo sitarajii kama atakayekuja atakuwa tofauti na huyo aliyeondoka sana sana atakuwa mbaya kuliko huyo aliyeondoka.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Ni yale yale tu, mbuzi yuko shambani, unamfukuzia kwanye shamba la jirani!!!!!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo amepelekwa mpanda kuharibu?

  Hivi hii ina maana gani mtu aliye leta matatizo kuhamishiwa sehemu nyingine wakati ilibidi awajibishe!

  Na hii inatokea hata kwa wakurugenzi wanao haribu wana hamishiwa sehemu nyingine badala ya kuwajibishwa!
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NGONGO vipi wewe?
  mwizi anaiba unadai hawezi kuiba kwani ana hela nyingi kuliko aliyeibiwa.huo hauwezi kuwa utetezi maadam umekamatwa na mzigo(kidhibiti)
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mi ninachojua kwa hapa Arusha Estomih alikuwa amekaa kwenye kiti huku kalio moja likining'inia. Lakini sasa makalio yote kwenye kiti!
  Ila alikopelekwa hakuna ulaji kama Arusha. ni sawa na demotion
   
 19. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ngongo alikosa nafasi ndani ya CHADEMA sasa ameingiwa na kiwewe
  Tumsamehe bure
   
 20. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Nadhani kama watanzania wapigania haki,hatupiganii haki za Arusha peke yake bali Tanzania kwa ujumla wake.
  Hivyo,sioni sababu yeyote ya kusherehekea mkurugenzi mbovu kuhamishiwa sehemu nyingine.
  Ingekuwa furaha kama angekuwa fired out na kushtakiwa kwa kosa la uzembe ulio pelekea mauaji Arusha.
   
Loading...