Mazishi ya diwani wa dongobesh-mbulu manyara yatafanyika leo.

HANDO

Member
Sep 1, 2011
51
4
ALIKUWA DIWANI NA KAMANDA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO MWL siasi YATAFANYIKA LEO NYUMBANI KWAKE DONGOBESH-diwan huyu alifariki siku ya ijumaa,ni pigo kwa familia yke pamoja na chama kwa ujumla maana alikuwa miongoni mwa makamanda wa chache wa chama pale halmashauri wenye elimu ya juu kabisa na ushawishi mkubwa kwa jamii,mhe MBUNGE AKONAAY ANATARAJIWA KUONGOZA HALAAIKI HII -r.i.p kamanda
 
Namfahamu sana Mwl Siasi RIP, imenishtua maana bado kijana. Mlete mada ungeweka na sababu ya kifo.
 
Poleni sana wanafamilia ya kamanda Daniel Siasi na wana Dongobesh kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu amrehemu.
 
Pole kwa familia, pole kwa wana dongobeshi wote na pole kwa watanganyika wote na mwisho kwa chadema. Bwana alitoa naye ametwaa. Rip siasi.
 
ALIKUWA DIWANI NA KAMANDA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO MWL siasi YATAFANYIKA LEO NYUMBANI KWAKE DONGOBESH-diwan huyu alifariki siku ya ijumaa,ni pigo kwa familia yke pamoja na chama kwa ujumla maana alikuwa miongoni mwa makamanda wa chache wa chama pale halmashauri wenye elimu ya juu kabisa na ushawishi mkubwa kwa jamii,mhe MBUNGE AKONAAY ANATARAJIWA KUONGOZA HALAAIKI HII -r.i.p kamanda
Ndugu mtoa mada tunashukuru san kwa kutujuza juu ya kifo cha shujaa wetu huyo ila mimi nauliza huyu kamanda alikufa kwa sababu ipi yaani kwa kuugua au ajali au nini?

Tafadhali tujuze na hilo
 
Wakuu Kamanda ameshafariki sababu za kifo si tija kwetu. Tuangalie nini cha kufanya ili apatikane mtu sahihi wa kujaza nafasi yake wakati wa uchaguzi mdogo. Mungu awafariji wanafamilia, CDM na wanachi wote wa Dongobesh. Amen
 
Kamanda kujua sababu za kifo ni muhimu ili kuepuka kama ni kifo ambacho kingeweweza kuepukwa! yaani tujifunze kwa hiyo sio kwamba tunauliza ili labda tufanye nini vile, hapana tunataka kujua tu. kwa hiyo mimi bado tu ninauliza sababu za kifo cha Kamanda wetu
 
Back
Top Bottom