Nape ni vyema ukamjibu Tundu Lissu

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Nape Tundu kasema mauaji yote yaliyotokea Igunga, Arumeru, Singida, Morogoro, Iringa, Nk wauaji wafunguliwe mashitaka na iundwe tume huru

Wewe unaamini serikali yako haihusiki kinachowaogopesha ni nini?? Mkiwa mnajeshi la polisi, mahakama DPP nk kwanini hamtaki haki na sheria ikachukua mkondo. Acha kulalamika wote tuishinikize serikali yenu ifanye kazi halafu tuone nani muuaji na nani asafishwe.

Tufuate utawala wa sheria na haki mauaji yametokea wauaji wako wapi? Ikumbukwe wote waliofyatua risasi ni polisi kwa maelekezo maalumu wafikishwe mahakamani tujue ukweli.
 
Suala la MAUAJI ya Nyololo, watanzania na wapenda haki wengine wanapenda haki itendeke!.. Hakuna haki wala haki haitatendeka iwapo wafuatao hawatajiuzulu au kuchomolewa na Kikwete kupisha uchunguzi:1. Waziri Nchimbi;2. Mkuu wa mkoa wa IRINGA; 3. RPC;4. Mkuu wa wilaya;5. OCD; na 6. mkuu wa upelezi mkoa (RCO), 7. Chagonja.
 
Kama kweli serikali ya CCM haiusiki na mauaji/utekaji kwa namna yeyote ile, kwanini wanaogopa tume huru?
Only FOOL atakayeamini maelezo ya kujisafisha/kuitakasa serikali ya Chama cha Mapinduzi
 
Hapa tume huru tu ndio kiboko yao wakiwemo na wachungaji,mashehe,na waandishi wa habari wenyewe.
 
Nape anaogopa moto maana anajua kuwa watanzania wanafahamu vema ujinga anaoongea kila kukicha. Kwa hili la maisha ya watu anajua atapigwa mawe kama bosi wake
 
nape tundu kasema mauaji yote yaliyotokea igunga, arumeru, singida, morogoro, iringa, nk wauaji wafunguliwe mashitaka na iundwe tume huru

wewe unaamini serikali yako haihusiki kinachowaogopesha ni nini?? Mkiwa mnajeshi la polisi, mahakama dpp nk kwanini hamtaki haki na sheria ikachukua mkondo. Acha kulalamika wote tuishinikize serikali yenu ifanye kazi halafu tuone nani muuaji na nani asafishwe.

Tufuate utawala wa sheria na haki mauaji yametokea wauaji wako wapi? Ikumbukwe wote waliofyatua risasi ni polisi kwa maelekezo maalumu wafikishwe mahakamani tujue ukweli.

sasa mnaenda kwenye mikutano kutafuta seriklai itamuua nani jamani mkizuiwa msikilize amri....by the way nyie mnaandamana viongozi wetu wako kwenye raha zao nyie jua lenu mvua yenu acheni hizo...
 
sasa mnaenda kwenye mikutano kutafuta seriklai itamuua nani jamani mkizuiwa msikilize amri....by the way nyie mnaandamana viongozi wetu wako kwenye raha zao nyie jua lenu mvua yenu acheni hizo...

Waache waendelee kujitanua tu. Siku zao ziko karibu. Wataruka wakirudi watakuta "mti wao wa kutua" umeshakatwa na CHADEMA, sijui watatua wapi.
 
Apo twacheza na variable 2 tuu ie ccm na serikali
Kama serikali hauisiki then ccm wanahusika and the vice versa is the case
 
Nape Tundu kasema mauaji yote yaliyotokea Igunga, Arumeru, Singida, Morogoro, Iringa, Nk wauaji wafunguliwe mashitaka na iundwe tume huru

Wewe unaamini serikali yako haihusiki kinachowaogopesha ni nini?? Mkiwa mnajeshi la polisi, mahakama DPP nk kwanini hamtaki haki na sheria ikachukua mkondo. Acha kulalamika wote tuishinikize serikali yenu ifanye kazi halafu tuone nani muuaji na nani asafishwe.

Tufuate utawala wa sheria na haki mauaji yametokea wauaji wako wapi? Ikumbukwe wote waliofyatua risasi ni polisi kwa maelekezo maalumu wafikishwe mahakamani tujue ukweli.

Jiulize kwanza kama utawala wa sheria wanaujua?
 
Back
Top Bottom