Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Moja kati ya mashariti makubwa ya jeshi lolote duniani ni kutooji amri yoyote inayotoka kwa mkuu wako wa kazi. Polisi mmekuwa mkiua watu ovyo ovyo utafikiri nyie siyo sehemu ya jamii, au kama vile mmetokana na mawe na siyo kupitia tumbo la mwanamke.
Kama kweli kuna viongozi wa juu wamewatuma kuwa mnaua watu ovyo ovyo utafikiri kuna kiwanda cha kuumba watu, basi hili ni fundisho kwenu kwani mmeumbuka vibaya sana. Mlidhani tena mngesingizia kuwa chuma kizito kimeua mwandishi lakini kumbe this time camera imewanasa mkimshambulia mwandishi wa habari kama fisi wenye njaa ya wiki 3.
Kama kweli kuna viongozi wamewatuma kuua, basi na nyie msikubali wenzenu wahukumiwe peke yao, hakikisha mnawataja, ikibidi gomeni kama liwalo na liwe