Uchaguzi Wazazi Taifa CCM walalamikiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi Wazazi Taifa CCM walalamikiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 10, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  [h=2]10 SEPTEMBER 2012[/h]Na Mwandishi Wetu

  UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Jumiya ya Wazazi Taifa ambao umefanyika jana jijini Dar es Salaam, unadaiwa kuingia dosari kwa madai ya ukiukwaji kanuni ambazo zinazuia wagombea wenye kazi za kudumu kutorohusiwa kugombea nafasi hiyo.


  Imeelezwa kuwa, hatua ya Baraza la Utekelezaji kupitisha majina ya mengi ya wabunge, imewahuzunisha na kuwakasirisha wanachama wa jumuiya hiyo ambao wanamtaka Mwenyekiti ambae atakua nao muda wote.

  Akizungumza na gazeti hili kwa sharti la kutoandikwa jina, mmoja wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Wazazi Taifa, amehoji hatua ya baraza hilo kuvunja kanuni zake kwa kupitisha majina saba ya wagombea badala ya matatu wengi wao wakiwa wabunge.

  Waliopitishwa katika uchaguzi huo ni Bw. Nimrodi Mkono, Bi. Martha Mlata, Bw. Said Bwanamdogo, Dkt. Norman Sigalla, Bw. Abdallah Bulembo na Bw. Daniel Machemba, Bw. Barongo Rweikiza.

  “Naiomba Kamati Kuu ya CCM, kutowateua wabunge kugombea Uenyekiti wa jumuiya hii kwa sababu wana kazi ya kudumu pamoja na shughuli nyingine,” alisema.

  Alisema kuwateua wabunge hao ni kudhoofisha jumuiya hiyo na kuikosesha kiongozi ambaye atasikiliza matatizo yao muda wote.   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Daniel Machemba mtoto wa kiongozi Mkubwa wa CCM na Serikali - Yaani CCM ni wale wale ila Damu Mpya...
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mbowe ni mkwe wa mwasisi wa chadema.

  lucy owenya na grece kiwelu = philemon ndesamburo
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145

  Oh Ukianza hivyo kwa CCM; tukianza kuwataja hao tu Wanaogombea U-NEC-CCM; tutamaliza kesho asubuhi... Yaani Dr. Kigangwalla

  katoa watatu ndani ya...

  Familia 1. Dr. Kigangwalla 2. Dr. Mrs. Kigangwalla 3. Kigangwalla (young bro) hapo tu - Ni KIGANGWALLA's]

  Nikienda Bukoba Mjini Kashegeki yeye ana 12... Wanagombea U-NEC CCM] hapo Sijagusa UBUNGE, UKUU WA WILAYA...
   
 5. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kwenye CCM huwa hakuna katazo, ni usanii mtupu usitegeme kamati kuu(CC) itaamua chochote chqa maana , ndio maana Li-Mery Nagu limefanya zengwe jina limerudishwa, CCM siyo kama chademA wanaotoa maamuzi mazito , kenye CCM hakuna kitu ACHA, ndio maana kata akiNA ADEN RAGE wanagombea kwa ticketi hiyo maana wanajua CCM ni Huweeeeeeeee.
   
 6. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kwenye CCM huwa hakuna katazo, ni usanii mtupu usitegeme kamati kuu(CC) itaamua chochote chqa maana , ndio maana Li-Mery Nagu limefanya zengwe jina limerudishwa, CCM siyo kama chademA wanaotoa maamuzi mazito , kenye CCM hakuna kitu ACHA, ndio maana kata akiNA ADEN RAGE wanagombea kwa ticketi hiyo maana wanajua CCM ni Huweeeeeeeee.
   
 7. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kwenye CCM huwa hakuna katazo, ni usanii mtupu usitegeme kamati kuu(CC) itaamua chochote chqa maana , ndio maana Li-Mery Nagu limefanya zengwe jina limerudishwa, CCM siyo kama chademA wanaotoa maamuzi mazito , kenye CCM hakuna kitu ACHA, ndio maana kata akiNA ADEN RAGE wanagombea kwa ticketi hiyo maana wanajua CCM ni Huweeeeeeeee.
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu na Dada yake
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  CCM bana wananichekesha sana eti jumuiya ya wazazi. Sasa hao wazazi ni wakina nani?
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,748
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  tafuta solution ya matatizo yaliko ktk chama chako. kama hamna uwezo wa kuwatimu watu ambao wanadhalilisha chama chenu,basi mnyamaze mnaoambiwa kwamba wote mmeoza!
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Huyu Norman Sigalla si ndio yule aliyekamatwa na TAKUKURU kule Makete akitoa rushwa wakati wa kura za maoni za ubunge?
   
Loading...