Afrika na demokrasia feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika na demokrasia feki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakarungu, Sep 10, 2012.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hakuna kiongozi wa Afrika aliyeifahamu na kuifanyia mazoezi tafasri halisi ya DEMOKRASIA, kama yupo basi kiongozi huyo ameifanyia mazoezi kinadharia na hakuruhusu imugharimu, hivyo mbinu za kuidhorotesha ni siraha kwake! Nyakarungu 2012
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nyakarungu tuachane na Afrika. Hebu nitajie kiongozi anayefuata Demokrasia ya kweli Nchi yeyote DUNIANI.
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,492
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mnafiki tu! hata Kiswahili hujui siraha ndo nini sasa? Kamati kuu nzima isione unachoona wewe? unataka kufurahishwa wewe tu? Wewe una matatizo ya akili! toa upimbi wako hapa!
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,492
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  Leo ndio nimejua Nyakarungu hafai kabisaaaaa! umetukana viongozi wote Afrika eti hawajui! wewe unajua?
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu kosa lake ni nini?Hakukuwa na haja ya kumtukana mleta mada
   
 6. a

  annalolo JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  demokrasia anayo Makinda na wenyeviti wote , lusinde, wassira na migullu bila kuwasahau waropokaji wao nape na mukama , vibarua wao Polisiccm
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,492
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  Mkuu soma thread ya CDM kutimua baadhi ya wanachama wake alafu unganisha dot na hii!!
   
Loading...