Wanahabari Iringa na maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahabari Iringa na maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Sep 10, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Nina hamu ya kujua kama waandishi wa Iringa wataenda kutoa taarifa ya maandamano yao kwa RPC ambaye wamemsusia kufanya naye kazi kwa namna yoyote. Au wataamua kutokuandamana au watakuwa ngangari na kuingia mtaani bila kuiarifu polisi?
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kibali kimetoka cha nchi nzima
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Dar walizuiwa mwanzo na sasa wameruhusiwa na Kova ambaye ni wa kanda maalum, hana uwezo wa kutoa kibali cha nchi nzima huyu
   
Loading...