Video: Jinsi Kamanda Kamuhanda alivyokataza "mikutano ya ndani" na Kusababisha mauaji!

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,177
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita

video kwa hisani ya chadematv
 
Last edited by a moderator:
Umma wa Tanzania kamwe hautokubali polisi vidagaa ndio waswekwe rumande wakati wale waliotoa amri kwao kuua wakiendelea kuponda raha mitaani.
 
Umma wa Tanzania kamwe hautokubali polisi vidagaa ndio waswekwe rumande wakati wale waliotoa amri kwao kuua wakiendelea kuponda raha mitaani.

ni kweli mwana jf, video inaonesha wazi operation ya kubwa hawa but no one touchrs them. haikubaliki!!!!
 
Mwema lazima aondoke! Na wale wajinga waliokuwa wanasema CHADEMA ndio wamesababisha hili wako wapi?
 
Kumbe mikamanda yenyewe mbumbumbu na mihuni inayojipayukia kama wahuni wa manzese? Heri mihuni kama hii ingeripotiwa haraka The Hague.
 
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita

video kwa hisani ya chadematv

Huyu RPC Ana arrogance ya hali ya juu sana. Kwenye video anaonekana kuna mwandishi mmoja hampendi kabisa, anamwambia wewe upo negative tu badala ya kujibu maswali.

Amejibu maswali kwa kujichanganyansana, anasema tumekataza, yeyebnani kuzuia mikusanyiko ya kisiasa hata kwenye maofisi ya vyama..??
 
Last edited by a moderator:
Hawatoki hao maafande IGP,RPC wafunguliwe case the Hague.

Huyu RPC akichomoka kwenye hili, ni wazi laziama atakuja kuwaondoa mahasimu wake wakubwa, Francis Godwin na that Mushi guy wa Nipashe. Inaonekana hawaoendi kabisa.

How can Mwema appoint such a moron for RPC position....au wote wapo hivyo?
Hatari kweli kuwa na viongozi wa polisi ambao wanaonekana they dont F care what happens to the mwananchi.
 
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita

video kwa hisani ya chadematv

Damu ya Mwangosi na wengine waliouawa kwa uonevu; mateso ya watu wasiokuwa na hatia ni dalili tosha kuwa CCM imekufa. Huwezi kukutafuta kukubalika kwa mtutu wa bunduki.
 
Last edited by a moderator:
KWANZA KABISA KIUCHUNGUZI POLISI WALIKUA WENGI KULIKO IDADI YA WATU....
PILI WATU WALIKUA WAMEKAA CHINI KWA AMANI....NA GAFLA WAKAMUATTACK RASTA MMOJA...

Swali nani kavunja sheria...

Kamuhunda anatakiwa KUNYONGWA HADHARANI IWEFUNDISHO KWA WENGINE....
 
ishu imetokea tarehe 2 VIDEO inatolewa tarehe 9

Hivyo ndivyo inavyokuwa, ili kuweza kuwanasa wanafiki wote ambao siku zote hukimbilia kwenye vyombo vya habari kuwalaumu Chadema.
Jamaa wengi sana hapa JF waliwalaumu Chadema kuwa wamesababisha mauaji kwa kuandamana huko Iringa. Wamesema mengi sana. Hata Bosi wenu Nape naye alizungumza kwa uelekeo wa kuilaumu Chadema na kusema kuwa Chadema iwajibike kwa mauaji hayo.
Sasa, kwa ushahidi huu, Nape itambidi achukue likizo bila malipo.
Onyo langu mimi ni lile lile hukusu mauaji ya raia wasio na hatia:-
Atawalaye kwa upanga, hakika atakufa kwa upanga.
 
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita

video kwa hisani ya chadematv

Ritz, Mafilili, Zomba and three others doesn't like it
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom