Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,051
- 747
Mmie naomba mnijibu kama mnamajibu nilikuwa nataka kujua tu kwa sababu naona Mbowe na Slaa wanazunguka miko yote kila kukicha wakishirikiana na wabunge wengine wa CHADEMA lakini sijawahi kumuona Zitto kwenye hii mikutano badala yake yeye alianda kale ka tamasha ka LEKATUGIGIDE sijui nini vile.
Je kama kweli ni kiongozi wa chadema si anatakiwa awe kwenye hii movement for change? au ama call sick??
Mie naomba sababu ili nijue kabla sijaanza kumlaumu kwa mambo fulani fulani kama nionavyo kwenye mitandao manake nisije nikawa namuonea tu wakati ana sababu zza kutoshiriki M4C